mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,051
- 3,255
Sina lengo la kuharibu biashara yako au kukuanika lengo langu ni kukupa pongezi kwa ujasiria mali unaoufanya .
Hakika unauza saana CD za zilizozitafsiri kwa Lugha ya kiswahili na sasa unaonekana kujikita zaidi kwnye movie za kikorea zinazoendelea kupata kasi ya wapenzinchi,umesaidia wengi kuingia kwnye hiyo Entertement.Japo mm si mdau kabisa wa hizo movie lakini naomba kujua haya na kukukushauri pia .
1.Je una kibali cha kazi unayofanya au unafanya kwa ujanja ujanja ? (Kama hauna ni vyema kufanya utaratibu sasa kwani Unavutia wengi kwa kazi zako ,Pia utatengeneza Ajira kwa vijana wengi ).
2. Kwa sauti nzuri uliyonayo Je unaweza kuapatikana katika shuguli za MC na utengenezaji wa matangazo . ?
Katika kukuuliza nimesikia ni kijana uliyefanikiwa sana,binafsi nadhani ukifanya kazi zako katika wigo mpana utasaidia wengi .
Kwa wanamjua DJ Murphy mnauwanja huru wa kuchangia jambo
Hongera saana DJ Murphy .