'The carter V' - tutegemee nini na ujio mpya wa lil wayne

'The carter V' - tutegemee nini na ujio mpya wa lil wayne

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,938
Muda wa kusubiri ujio wa album ya mnyama, lil wayne 'The carter V' umefikia ukomo..

Je ataweza kututeka tena mashabiki kama enzi zake alivyokua hot? Swali hili litapata jibu 21st September 2018 siku album inatoka.
original.jpeg
tumblr_n3j52iKMiN1rtyhrwo1_1280.jpeg
 
Album imesubiriwa kama chronic 2 ya dre....mistari na content za miaka mi5 nyuma .sijui hebu tucheki
 
Album imesubiriwa kama chronic 2 ya dre....mistari na content za miaka mi5 nyuma .sijui hebu tucheki
Believe me ft drake, ndani.

Nimemisi tu flow zake huyu mhuni
 
Believe me ft drake, ndani.

Nimemisi tu flow zake huyu mhuni
Hapa kati kama amekua anabwatuka sana Utah umepungua labda kwakua anakunywa sana masyrup..ila all in all he is a legend
 
Back
Top Bottom