Katika ukurasa wa msanii diamond platinumz nimeona kaandika kwamba msanii wa hip hop Nikki Mbishi atakuwepo kwenye wasafi festival 2018......
Nikupongeze sana mdogo wangu kwa kukumbuka...
Wakuu , labda sijaelewa mi naona kuna double standards katika kufungia nyimbo zenye utata wa kimaudhui ya kimaadili.Naona hawa jamaa wa BASATA kwenye hili la nyimbo ya Nyegezi ya Rayvanny(mimi...
Wasafi fm ni radio station inayokuja kwa kasi sana apa nchini kwa burudani..
Wanapga nyimbo konki sana alafu wanajua kupangilia na wanaenda na ratiba leo j,pili zinapigwa gospal za hatari apa...
Habari zenu jamani? Naitwa Chuse , me ni msanii chipukizi ambae nafanya mziki wa hip hop. Nahtaj msaada wenu ili kufikia malengo ndg zangu! Video yangu ipo YOUTUBE tayari naomba ridhaa yenu ili...
Habari Wana JF
Nilkuwa naomba kujua na kufahamu mtu yoyote amabe anajua process za kuweza kuahamia chuo cha serikali kutok chuo cha private
Je inakuaje na nini uwe navyo hadi kuamia cha serikali...
Naam,
Televisheni ya Taifa imemaliza kuuonyesha mchezo ama tamthilia ya "The Long wait". Ama kweli tamthilia hii imetugusa tulio wengi.
Yani imekaa vema sana. Binafsi niliipenda namna ilivyokuwa...
JULIANA-01....Gideon alitulia kwenye kochi lililokuwa sebuleni kwake katika jumba lake la kifahari lililokuwa Masaki jijini Dar es Salaam. Alikuwa akimwangalia mke wake, Juliana Marcel jinsi...
Chez Ntemba maarufu kwenye nyimbo za lingala hasa nyimbo za Defao na Koff, mjasiria mali wa mda mrefu wa vinywaji na baadae club za mziki.
Amezaliwa Lubumbashi na ndiko aliko anza na club kubwa...
SEHEMU YA 01...- NYEMO CHILONGANI
“Sijui atazaliwa mtoto gani.”
“Labda wa kiume.”
“Mmmh! Mimi napenda awe mtoto wa kike ili na sisi tujivunie kwa mara nyingine.”
“Ila yeye mwenyewe si alitaka wa...
Wana jf hilo ni jina la tamthilia ambayo naitafuta,kwa yyt mwenye ufaham nayo na anajua inapopatikana anijuze.tamthilia hiyo ilikuwa ikioneshwa TBC 1 Miaka ya 2008_2009. Na ilikuwa imetafsiriwa...
SIMULIZI: DUNIA DUARA.
KUTOKA KWA JOTO LA MOTO.
SEHEMU YA KWANZA.
KIJENGE JUU ARUSHA-MSURURU WA VYUMBA VYA KUPANGA-NJE-ASUBUHI.
Rose, Mwanadada mrembo wa miaka 20, yupo nje ya nyumba anapiga...
Audio Mpya ya Kwake RAYVANNY Akiwa Ameshirikiana na DIAMOND PLATNUMZ , Wimbo Unaitwa "MWANZA"
DOWNLOAD HAPA Rayvanny Ft Diamond Platnumz - Mwanza
KUWA KARIBU NASI NA KUHAKIKISHWA HUPITWI NA...
1. Lady Gaga & Bradley Cooper- Shallow
2. Calvin Harris ft Sam Smith- Promises
3. Marshmello ft Bastille- Happier
4. Rita Ora- Let you love me
5. Little Mix ft Nicki Minaj- Woman like me
6. Dua...
Only Club Legend unapata entertainment to the maximum. Serious music with serious Djs from oldies to new skool.
Nipo na enjoy kinoma hapa. Karibuni sana ukutane na Dj JD and Dj Richie Dillion...
Wakuu mtakumbuka yule muimbaji wa Uganda wa Radio and Weasel alifariki baada ya kushambuliwa na baunsa. Sasa naona mbadala wake umepatikana ambao ni chemistry moja hatari mno maana huu wimbo wao...