Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Manara vs shafii Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Blind fold yourself .. The outside is beautiful but will kill you
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Najua wengi humu ni wadau wakubwa wa Clouds Media Group CMG, Hivyo nimeamua kuanzisha uzi huu uwe mahususi kwa ajili ya wadau waote wa Clouds popote walipo duniani, chochote kile ulichonacho...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu naombeni msaada wa kupewa links za kudownloads horror movies. nataka nidownload hii. The NUN Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nikianza na Muziki,kwa kipindi cha nyuma muziki wa Dansi(ya ukweli) ulikuwa umeshamiri sana nchini kwetu kiasi kwamba enzi hizo redioni ilikuwa ni mwendo wa muziki wa Dansi tu. Kuna baadhi ya...
2 Reactions
183 Replies
60K Views
nipeni wasaanii japo watano wakali wa hiphop tz. kwa wadau 2 mi cmjui ney wa mitego
1 Reactions
75 Replies
25K Views
Kata tiketi yako mapema Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
STRAIKA wa timu ya KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta atatua katika Klabu ya Middlesbrough ya England endapo klabu hiyo ikitoa kiasi cha Euro milioni 6.5 (bilioni 17) ambayo ndiyo thamani ya...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
MAKOSA KIFRIKA KATIKA WIMBO WA PROF JAY “NIKUSAIDIAJE” Nikusaidiaje ni wimbo ulioandikwa na msanii wa bongo flavor anayekwenda kwa jina la prof jay akimshirikisha ferooz ni matumaini yangu wengi...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
SIMULIZI;MAPENZI YA KICHAWI. MTUNZI;RAJA SAIDY. WHATSAPP;0756920739. SMS;0621047841. SEHEMU YA TATU ( 3 ) ILIPOISHIA.... Nilianza kumuachia Mama pole pole kwa kumtega ili aanguke kitandani...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Ninaposikiliza huu wimbo machozi huwa yananitoka. Napenda kuusikiliza muda wote na una niweka karibu na roho mtakatifu. Umebarikiwa mama bikira mama maria ,mama wa mwokozi yesu kristo. Kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tukio la Mawaziri kuapishwa,nimekuta limeisha ila nimekuta ndo Mh.Rais anapiga nao picha,lakini katika niliowaona nimemuona Mzee wa siku nyingi sana aliyewahi kushika nyadhifa mbali mbali katika...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
PENZI LA SHEMEJI sehem ya 1 " Naomba umsindikize shemeji yako tafadhali Jun" alinambia kaka " Haina tatizo kaka" nikamjibu kaka Niliingia chumbani na kuwaza sana namna nitakavyofanya ili...
1 Reactions
14 Replies
23K Views
SIMULIZI;MAPENZI YA KICHAWI. MTUNZI;RAJA SAIDY. WHATSAPP;0756920739. SMS;0621047841. SEHEMU YA PILI ( 2 ) ILIPOISHIA......... Nilizungumza na Mzee yule huku nikiwa naanza kusimaa kwa ajili ya...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Tuzo gani sijui zile zilizokuwa zinatolewa majuzi ni tuzo kubwa wajameni lakina hawa wa kujiita wasafi mbona kama wametoka kapa vile au ni macho yangu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau hii documentary imekaaje mbona imefutwa you tube,maana natak nione tuhuma za huyu roll model wangu maana ata mimi mahindi mabichi nakulaga Ambae anayo anitumie Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
CHAPTER1 PERSONANONGRATA. Bill Browder CEO na founder wa Hermitage Capital kwa wakati huo kampuni yake ikiwa ndio Mwekezaji mkubwa kutoka nje ya Urusi ikiwa imewekeza $4.5 billion nchini mpaka...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Japokuwa hiphop nimeanz kuifuatilia miaka si mingi sana ila nimekuja kuona kuna tofauti kubwa sana kati ya wasanii wetu wa sasa wanaojiita wanahiphop na wakongwe wenyewe wa utamaduni huu wa...
6 Reactions
17 Replies
5K Views
rollers for sale tunauza na kusambaza rollers za resits bei poa #supermarkets #incortex mashines #petrolstations #shops etc contact:0625610343 whatsup:0762289598 Email:suppliesroller@gmail.com...
0 Reactions
1 Replies
775 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…