Pata wimbo wowote wa lyrics
ASLAY-MHUDUMU
Naamini we ni wangu mke wangu
Nimemiss kukuona kwangu kipenzi changu
Nitaficha wapi sura yangu
Kwa walimwengu
We ndo msiri wangu kipenzi changu Maiyo...
Hodi hodi humu ndani,
Jamani mimi binafsi ni mpenzi sana wa music hasa hasa mziki aina ya charanga, kunakipindi flani TBC walikuwa wanarusha kipindi cha mashindano ya kudance TIKISA washiriki...
Wasalaam;wakuu tujielekeze katika filamu iitwayo prison break ipo katika mtiririko wa season,lakini maudhui yake ni elimu tosha kulingana na mtiririko wa matukio yote ndani ya sinema hizo,kisa cha...
Kwenye kipindi cha Power Breakfast kitakacho rushwa siku ya jumatatu saa mbili asubuhi.
Lady Jay Dee ameingia kwenye vita kali na Clouds Fm huku akimshambulia Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba kwa...
Nimeamua kwa ufupi kwa wapenzi wa muziki wa Congo na haswaa wale wa Werrason au wenye Werrasonique tuje hapa tujikumbushe machache ya nguli huyu ambaye wiki tumepata bahati ya kupatiwa ile adimu...
Mtu kuwa marehemu hakuondoi uchungu kwa wale aliowafanyia mabaya. Na ndo maana baadhi ya mila zina ruhusu mtu kusema kama alikuwa anadaiwa au anamdai marehemu. Na baadae mtu anaweza kusema kama...
Kifo cha Ruge kimenifanya nikajikuta natafakari safari ya muziki wa Tanzania was kizazi kipya, alias Bongo fleva...
Trend ya muziki wa bingo fleva kwa sasa ipo juu. Kwa sasa ni rahisi mwanamuziki...
*SIMULIZI YA DORCAS-01*
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25 ambaye ni yatima niliyezaliwa peke yangu kwa wazazi wangu ambao sikubahatika kuwaona, kwa sasa naishi jijini Dar es Salaam...
Habari zenu wanaJF?
Naomba tukumbushane mashairi ya kwenye wimbo wa NZIGE unaoitwa CHUMBA CHA MTIHINI
nawaomba mshushe baadhi ya mashairi yaliyopo kwenye wimbo huo .
*Verse 1:
Ndani ya chumba...
Ukweli ni kwamba kila kazi na fursa zake, palipo na fursa hapakosi changamoto na kila mtu na mazuri yake na mapungufu yake.
Ruge Mutahaba anaweza kuwa ametajwa kwenye masakata mengi ya ubaya...
Katika muziki wa Hip Hop, Beef huwa haipukiki.. Kutoka na utamaduni wa majigambo juu ya maisha mazuri, gari nzuri, dem mkali, hela za kutosha bank basi conflicts huibukia hapo..
Tunakumbuka 2pac...
Kuna jamaa anaimba gospel ana mix kilugha,kiingereza na kiswahili nadhani ni mzambia au zimbabwean ameimba huwo wimbo wa ni zurii na yesue kama unamjua jina lake naomba hapa ili nizitafute hizo...
Hulkshare.com hello wafu fm-dani and kulw.mp3hey jamani Hii album ni noma,
list ya Wasanii walishiriki ni
Mr II
Mkoloni wa Wagosi wa Kaya.
Danny Msimamo
K wa mapacha
Soggy Doggy
Summa G
and nina...
Kwa walioshuhudia leo utolewaji wa tuzo za #SinemaZetuInternationalFilmFestive2019 lazima wengi wao wameguwaa na kustaajabu namna ambavyo mambo yamekuwa na mshanga mkubwa yaani uliye mzania na...