Plan B - Push Mbele (Prod by Magnifico & Black Junior Da Capo)

Mkuu magnifico!!

Sijui kwanini nimechelewa sana kuona hii post! Nafahamu nina tatizo la kupata notifications lakini hii imekuwa too much; au labda kwavile hivi sasa naingia mara chache sana hapa JF.

Lakini yote 9, kumi ni "how come" sijaona comment yoyote hapa?! Ni kwamba bundle ni bonge la mtihani namna hii, au?! Nasema hivyo kwa sababu, bila unafiki wowote, hili ni bonge la goma, kuanzia kwenye production hadi kwenye kuteleza na beat. I repeat, ni bonge la ngoma, na nimeona kuna imrovement kubwa sana kulinganisha na ile ngoma yako ya awali ambayo uliiweka hapa.

Kama kuna "tatizo" (and in fact, sio tatizo) ni jinsi huyo mwana anavyotembea kulinganisha na verses. Naona verses zake ni ndefu sana wakati staili yake inahitaji mapafu hasa! We all know studio ni tofauti sana na jukwaani. Kwa kuangalia urefu wa verses zake (at least kwa hii), kisha ukachukua flow yake (naikubali sana, tena sana), am afraid unless kama ana mapafu ya mbwa, basi jukwaani anaweza kupata taabu!!

Man, keept it up!
 
Dah Mkuu umeongea kila kitu kama nilivyotarajia. Nilijua tu muda wowote utakapoona hutasita kutia neno. Tutafanyia kazi ushauri wako. Kwa sasa tunajikusanya kifedha ili tuisogeze hii ngoma ifike mbali.
 
All the best Mkuu Mag, nakuhakikishia, ngoma imesimama!!!
 
Back
Top Bottom