Baada ya kudorora Bongo Movie, Bongo Fleva ikae tayari

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,181
2,000
Kifo cha Ruge kimenifanya nikajikuta natafakari safari ya muziki wa Tanzania was kizazi kipya, alias Bongo fleva...

Trend ya muziki wa bingo fleva kwa sasa ipo juu. Kwa sasa ni rahisi mwanamuziki akapata umaarufu kwa muziki mmoja, na ukambadilisha kimaisha kabisa kimapato..


Hata hivyo nimejikuta nikiwaza fate au hatma ya muziki huo... Bahati mbaya nimejikuta kwenye conclusion kuwa muziki wa bongo fleva utapoteza umaarufu ndani ya miaka michache ijayo.

Sababu ni moja, na ndiyo sababu iliyopelekea kufa kwa bongo movie. Miaka ya 2000 hadi 2010 ilikuwa miaka ya neema sana kwa bongo movie. Ghafla kibao kikabadilika na ikafa... Na haitaibuka tena kwa settings za zamani.

Sababu yenyewe ni ubabaishaji na/au ubovu wa kazi za Sana'a za Tanzania. Hii ukijumlisha na accessibility ya kazi za sanaa za nchi zilizoendelea zitasababisha washabiki kupoteza interest na kuhamia nje.

Kwa sasa ukikaa kwenye vijiwe vya kawaida kabisa mtaani kama saluni na grocery, kuna ongezeko kubwa la frequency ya kupigwa muziki wa nje, pamoja na kwamba bado bongo fleva inaongoza.

Yaani kwa sasa ni nusu kwa nusu... Ila tunakoelekea miziki ya nje itatawala. Accessibility ya YouTube ambapo miziki inapatikana kirahisi na kukua kwa lugha ya kiingereza miongoni mwa jamii yetu ni sababu itakayofanya vijana wahamie sana kusikiliza miziki ya nje ambayo ni bora na kupotezea hii yetu mbovu na iliyojaa unafiki na mabifu yasiyowajenga
 

G8M8

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
433
500
Ruge alikuwa anawatungia nyimbo au alikuwa akiwapa pesa za studio au alikuwa akiwaingezea vipaji.. muziki udorore kwa kitu gani cha maana mbna huna akili ya kufikiri ww kipaji cha mtu ni mtu mwenyewe usiniambie eti ruge alikuwa akiwatoa wasanii kwamba Bila yy uwezi kuwa na kipaji #mtafulia nyie kina whozuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bughy Harry

JF-Expert Member
Dec 6, 2017
395
1,000
Ruge alikuwa anawatungia nyimbo au alikuwa akiwapa pesa za studio au alikuwa akiwaingezea vipaji.. muziki udorore kwa kitu gani cha maana mbna huna akili ya kufikiri ww kipaji cha mtu ni mtu mwenyewe usiniambie eti ruge alikuwa akiwatoa wasanii kwamba Bila yy uwezi kuwa na kipaji #mtafulia nyie kina whozuu

Sent using Jamii Forums mobile app
.
Jifunze au fatilia kitu inaiwa TREND ndo utamwelewa mleta mada alikuwa anawaza nini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom