Anti Virus Mixtape Vol II Ipo Leak!

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
986
155
Hulkshare.com hello wafu fm-dani and kulw.mp3hey jamani Hii album ni noma,
list ya Wasanii walishiriki ni
Mr II
Mkoloni wa Wagosi wa Kaya.
Danny Msimamo
K wa mapacha
Soggy Doggy
Summa G

and nina uhakika Kuna list kubwa tu ya Raia inakuja

Baadhi ya leak Hizi Hapa download usikie!

Danny Msimamo - Wahujumu Uchumi!
Hulkshare.com dani msimamo -wahujumu muzi.mp3

Mkoloni Wa wagosi - Ishu Bado
Hulkshare.com ishu bado.mp3

Nyimbo ya Mr II-I still Kill
Hulkshare.com i still kill full --.MP3

Tamko La Ruge
Hulkshare.com tamko la ruge.mp3

Suma G - Tunatupia
Hulkshare.com tunatupia- suma G.mp3

Ruge Mweupe (intro)
Hulkshare.com ruge mweupe.mp3


**** na FA(Fa, Said Fela Kali DIss)
Hulkshare.com fala na fa.mp3

dani msimamo and kulw - hello wafu fm
Hulkshare.com hello wafu fm-dani and kulw.mp3

Na track zingine kibao zipo Hapa

Hulk Share - Easy way to share your files

oh Mana, Listen to the Content!
 

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,724
Duu jamaa wamechana mbaya kabisa kuna nyimbo wanawaambia wanasiini huko mbele hakuna NSSF.....
 

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,724
Hili bifu Luge asipo angalia au serikali kuliingilia kati iko siku kuna damu itamwagika jamaa wanahasira sana na Clouds na Luge...
 

zacha

JF-Expert Member
Feb 28, 2009
1,152
1,714
Sasa mbona wote hao hawajui mziki...sugu mwnyewe anachana km anasoma gazet la tz daima!!!
nimeipenda hii....................... huyu sidhani kama huko mjengoni atarudi maana hata mchango wake hauonekani na kibaya zaidi kambi yake ya kampeini imeungua leo na moto.! hawa wasanii si nd' aliowalipia nauli na mwingine huyo nd' dereva wake mbona kazi ipo......... huwezi kumtukana baba yako halafu ukataka mafanikio ni ngumu.... imbombo ingafu...
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom