X-Agent
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 8,986
- 17,106
Kuna jamaa anaimba gospel ana mix kilugha,kiingereza na kiswahili nadhani ni mzambia au zimbabwean ameimba huwo wimbo wa ni zurii na yesue kama unamjua jina lake naomba hapa ili nizitafute hizo nyimbo...nakumbuka jina lake linaendeana na pompeo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app