Tukumbushane mashairi ya wimbo wa 'chumba cha mtihani'

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,743
25,535
Habari zenu wanaJF?

Naomba tukumbushane mashairi ya kwenye wimbo wa NZIGE unaoitwa CHUMBA CHA MTIHINI
nawaomba mshushe baadhi ya mashairi yaliyopo kwenye wimbo huo .


*Verse 1:

Ndani ya chumba cha mtihani,mikono inasweti,
Hakuna kitu kichwani,yote nimeforget,
Ahead yamevaporate,
Nahisi kichwa kimekuwa kizito, kama nimevaa helmet,

Homa inapanda na kushuka,
Nachokiona kimenuka,
Maswali mengi nimeruka,



Ebu na wewe endelezea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom