dekitambi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 663
- 761
Hodi hodi humu ndani,
Jamani mimi binafsi ni mpenzi sana wa music hasa hasa mziki aina ya charanga, kunakipindi flani TBC walikuwa wanarusha kipindi cha mashindano ya kudance TIKISA washiriki popular walikuwa ni Chenge, Witness, More love, Baucha na wengineo.
Lengo la kufungua hii thread naomba tushee jamani kwa yeyote anaye fahamu ngoma kali za charanga tafadhari tupia jina la nyimbo na msanii husika.
Pia ukiweza weka hata video yake