Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wakuu, Nimeona niwaletee mchezo uliotamba sana kwenye runinga zetu mwishoni mwa miaka ya 90 uitwao Tausi. Ni ule wa akina Mzee Kasry, Sitti, Mjuba, Kalumanzira, Tina, Lindi, Vita, Joto, Rukia...
7 Reactions
18 Replies
14K Views
Eneo hili lipo Katika Mji wa Mapimi Kaskazini Kati Mwa Mexico, Linaitwa 'Zone of Silence" Yaani Eneo la Ukimya. Eneo hili Linatajwa Kufanana na Eneo la Bahari la Maajabu la Bermuda Triangle...
3 Reactions
2 Replies
5K Views
Mamba huyu (Gustave) Anapatikana Katika Mto Ruzizi Unaounganisha Nchi Tatu za DRC, Rwanda na Brundi Kaskazini mwa Ziwa Tanganyika, Ametajwa Kuuwa Zaidi ya Watu 300 Wanaokatiza Katika Mto huo Mpaka...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Leo hii nimepigiwa simu asubuhi na mazungumzo yalikuwa kama hivi: 0688564622: Hello Habari Mimi: Nzuri, Habari ya kwako 0688564622: Mimi ni wakala wa Vodacom Mpesa hapa dar es Salaam Mimi: Ok...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau na wapenzi wa Wana Kagera Jisilizie huu wimbo wa Nkulukumbi Wimbo usiochuja! DOWNLOAD FREE WIMBO WA NKURUKUMBI WA MSANII BUSHOKE | BUKOBAWADAU
1 Reactions
5 Replies
12K Views
Mnyama wa kkoo atavaana na huyu Mkongo hivi karibuni Swali langu hivi TP Mazembe keshawah cheza hapa Taifa? Na timu gan? Mwaka gan? Na michuano gan? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
792 Views
CHRIS hakuweza kuvumilia zaidi, akatembea kwa haraka akitetemeka miguu. Alipowafikia akasimama na kuwaangalia kwa kuwakazia macho. Si Davis wala Pamela walioshtuka. Ni kama hawakuona chochote...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Any girl kwa kampani Niko mwanza, nyamagana pub nyuma ya nyegezi stand. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Hiii moviee tamu sanaa tembelea hii page kwa moviee tamuu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
657 Views
HADITHI: REBEKA ( Zaidi ya Mwanamke) SEHEMU: 01 MTUNZI: Ally Mbetu ‘Dr Ambe’ SIMU: 0713 646500 REBEKA ( Zaidi ya Mwanamke)...
0 Reactions
19 Replies
10K Views
HADITHI: Surprise ya Aibu SEHEMU: 01 MTUNZI: DR AMBE SIMU: 0713646500 Mazoea kwa kweli ni ugonjwa pamoja na kuwa na kila kitu katika maisha yangu hakuna nilicho kikosa. Nilikuwa na...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
HADITHI: KOVU LA MAPENZI MTUNZI: Aloys James Mabina Toleo: 01 Simu: 0717272313 KOVU LA MAPENZI...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
aisee nipo hapa taiwan hotel igoma mwanza pametulia saaana.....!!!!! sio poaaaa kuna vybe kama looooote hiki kiwanja Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
3K Views
MTUNZI : NYEMO CHILONGANI NAJISIKIA nimechoka sana, nimechoka sana kwa sababu nilikuwa nimetoka kucheza mpira uwanjani huku nikiwa nimechafuka kupita kawaida. Ninapofika nyumbani, ninaoga na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unakutana na wimbo umepambwa kwa bonge la biti linalochezeka harusini lakini maneno yaliyomo ni ya kidunia zaidi. Kanachomoza ka-neno YESU, MUNGU hapa na pale tu. Mwenzenu nashindwaga kuelewa hii...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Hii ni Hoteli iliyo na Vyumba vya Kulala Ndani ya Maji Zaidi ya Futi 30 Chini katika Bahari ya Hindi - Zanzibar, Tanzania na Inaitwa "Manta Resort" na Imetajwa kama Moja ya Hoteli Bora Duniani...
1 Reactions
4 Replies
11K Views
Ule mzgo tuliokua tukiusubr kitambo sana..hatimae leo upo yts Pakua hapa mapemaaa Triple Threat (2019) YIFY - Download Movie TORRENT - YTS Sent from my SM-G920P using Tapatalk
8 Reactions
49 Replies
7K Views
Mwaka 2007 Katika Kuelekea Siku ya Maadhimisho ya Uhuru wa Nchi ya Malaysia August 31, Siku ya Nyuma Yake August 30, 2007 Kijana Mmoja 'Rathakrishnan Velu' Alivunja Rekodi ya Dunia Kwa Kuvuta...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Yaani kuna muda nikipitia nyimbo zake za zamani kama stimu zimelipiwa huwa naona kama watu wawili tofauti. [emoji2398]troublemaker 2019. all right reserved.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna huyu kijana anaitwa "YOUNG KILLER" Nyimbo zake na mistari yake huwa naikubali sana. Kama pale aliposema Unaogopa nini toba, We binti wacha uoga, Ona unaguu la bia, halafu nguvu ni za soda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom