Nimesikia BASATA wanaandaa orodha ya nyimbo zingine ambazo zitafungiwa kuonyeshwa kwenye vyombo vya habari.
Naomba kuwaonya kua mkifungia huu wimbo nawaburuza mahakamani. Nimewasiliana na...
Kama kweli unakipaji basi usikate tamaa jitahidi tu utafika mbali,hebu angalia huyu kijana alikotokea mpaka leo hapo alipofika.
Nakumbuka hata wakina Jot na Mpoki walikotoka wakati ule...
Kutokana na hali ngumu sasa kuzidi hapa nchini Tanzania Watu wengine wenye Vipaji vingi kikiwemo cha Kuimba tumeona sasa tutumie ' Talanta ' zetu katika Kupambana na Ukazaji wa Vyuma kwa kuamua...
Wadau poleni kwa uchovu wa siku nzima me shida yangu kama kuna mtu anao wimbo wa dogo mmoja hivi simjui ameimba ivi"narudi nyumbani kuenyoj ,kuenyoj madikodiko naenyoma mamaaa,naenyoj...
Wadau natafuta sana huu wimbo wa Viumbe wazito uliopigwa na East African Melody na kuimbwa na Mwanahawa Ali
youtube upo kipande haujaisha
tafadhali naomba link au upload hapa
thanks in advance
2018 Swahili Movie Latest African Tanzanian Full English Movies
MACHO MEKUNDU - Hii ni movie ya kiswahili inayoelezea maisha ya kijiji kimoja kilichotawaliwa na imani za kishirikina...
Habarini ndugu zangu mimi ni mpenzi sana wa hizi comics books ambazo malanyingi huwa nazitoa mtandaoni, ila kuna hiyo story inaitwa strangers in the paradise naomba ambaye anaweza akanipatia link...
Huyu mwanadada kwa kipindi kirefu nimekuwa nikimfuatilia tokea enzi hizo akiwa mchanga kabisa kwenye uigizaji hadi sasa jina lake limekua na amekuwa miongoni mwa wasanii wakubwa..
Lakin kitu...
Bint Mlimbwende Wema Sepetu amezungumza hayo.Yeye na Chibu wamekuwa na wameona bora waweke tofauti zao kando, kwa sasa ni mtu na Boss wake, Wema atakuwa na kipindi Wasafi Tv. Ngoja tuone kama kazi...
Habari wadau.. sasa hivi imezoeleka kwenye mitandao ya jamii kwa baadhi ya watu kujifanya wachekeshaj.
Wanajirecord short clips na kuzipost kwenye account zao especially instagram, kifupi hawa...
RIWAYA; ELIZABETH NEVILLE
MWANDISHI; HALFANI SUDY
SIMU 0674 395733
Sehemu Ya Kwanza
Ni asubuhi na mapema ndani ya mji wa Mafinga uliopo mkoani Iringa, Tanzania. Baridi likiwa kali sana. Watu...
Wadau wa muziki pendwa wa dansi(rhumba na soukous) kutoka tanzania na kongo nina waarika tujadili juu ya Muundo, uongozi na umiliki wa band mbalimbali. Hapa nitatoa ufahamu wangu juu ya Muundo wa...
Leo tarehe 25 mwezi wa pili tatu mzuka wamekuja na droo ya kitapeli kwa mshindi wa milioni 60.
Namna walivyozishirikisha namba za kuchagua kati ya 1 hadi 6 kwa watu wawili pamoja huku wakijua wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.