BONEY M vs ABBA

BONEY M vs ABBA

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,410
Reaction score
42,396
naomba tupige kura kati ya haya makundi mawili yaliyotikisa dunia miaka ya 70 pia mwenye kujua historia yao vema na walipo Kwasasa na utajiri wao

Je walishawahi kuja Tanzania
Nani waliofariki
Kundi lipi ni maarufu zaidi
Sitaki majibu ya Google nataka ya wadau

NB. Wimbo wa Boney m horaaay horaaay its holiday naupenda sana
 
.... feeling hot hot
Hooray hooray
Abba group walikuwa wazuri zaidi ' waliitendea haki department ya mapendo
 
Ukienda Sweden kumejengwa Makumbusho maalum kwa ajili ya kundi hili, ABBA THE MUSEUM. Kwa kifupi hili ni kundi la kusikitisha kuliko tamba duniani kuanzia miaka yakati sabini mpaka ya Manzoni tisini pale lilipo vunjika. Wapenzi wa kundi hili wamekua wakihifadhi nyimbo za ABBA na kuwarithisha watoto wao huko Sweden na Ulaya. Katika shule na vyuo kadhaa kuna club za ABBA zinazo kuwa na bendi kwa ajili ya kuimba nyimbo za ABBA. Kuvunjika kwa kundi hili kulitikisa Bara mzima la Ulaya na America.ABBA ni kundi kuliko undwa na waimbaji Wanne, wanawake wawili na Wanaume wawili. Kama ulikua haujui basi tmbua kuwa Waimbaji wa kundi hili walikua wameoana wao kwa wao, yaani kila Mwanaume alio mwanamke mmoja ndani ya kundi na jina ABBA ni linaundwa na herufi za majibu yao, Anifida, Bjorn,Ben Anderson na Agnetha. Wimbo Chiquitita ni moja Kati ya nyimbo nyingi za ABBA. Ukiamua kujipa muda wa kusikiliza nyimbo za ABBA basi ni kama unaingia sayari mpya ya burudani na ni Nyimbo za kulevya. Mifarakano ya ndoa ndio ilipelekea kuvunjika kwa kundi hili. Moja Kati ya visa vya kukumbukwa ni pale Mwanaume Bjorn alitinga wimbo wa kumnanga mtaraka wake na akampa huyo huyo mwanamke auimbe, yaani ajiimbe mwenyewe.Wimbo inabidi mambo ya kuachana, jina la wimbo ni, A winner takes it all. Baada ya kuhojiwa alisema alitunga akiwa amelewa.
Hizi ni baadhi ya nyimbo za ABBA unaweza zipata YouTube.
1.Chiquitita
2.Mama Mia
3.I have a dream
4.Fernando
5.Andante andante
5.Dancing queen
6.Knowing me knowing you
7.Voulevou
8.Eangle
9.One of us
10.Super toupee
11.Winner takes all
12. Take chance of me.
Wote hawa bado wapo hai ingawa sasa wamezeeka sana. Ukifanikiwa kufika Stockholm Jitahidi kutembelea ABBA THE MUSEUM.
Asante kwa Mada hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa taarifa hii mujarabu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Definitely ABBA....

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
This was not even a competition, find something challenging for to choose hahaaaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Viwili vyachagulika,.kwa upande wangu ABBA....wakati nilipokuwa nahisi huzuni nilipenda sana kusikiliza chiquitita,adante adante na wakati wa furaha nilipenda kucheza na kuimba dancing queen,SOS,knowing me knowing....bado ni kundi rafiki kwangu..
 
Mkuu
Ukienda Sweden kumejengwa Makumbusho maalum kwa ajili ya kundi hili, ABBA THE MUSEUM. Kwa kifupi hili ni kundi la kusikitisha kuliko tamba duniani kuanzia miaka yakati sabini mpaka ya Manzoni tisini pale lilipo vunjika. Wapenzi wa kundi hili wamekua wakihifadhi nyimbo za ABBA na kuwarithisha watoto wao huko Sweden na Ulaya. Katika shule na vyuo kadhaa kuna club za ABBA zinazo kuwa na bendi kwa ajili ya kuimba nyimbo za ABBA. Kuvunjika kwa kundi hili kulitikisa Bara mzima la Ulaya na America.ABBA ni kundi kuliko undwa na waimbaji Wanne, wanawake wawili na Wanaume wawili. Kama ulikua haujui basi tmbua kuwa Waimbaji wa kundi hili walikua wameoana wao kwa wao, yaani kila Mwanaume alio mwanamke mmoja ndani ya kundi na jina ABBA ni linaundwa na herufi za majibu yao, Anifida, Bjorn,Ben Anderson na Agnetha. Wimbo Chiquitita ni moja Kati ya nyimbo nyingi za ABBA. Ukiamua kujipa muda wa kusikiliza nyimbo za ABBA basi ni kama unaingia sayari mpya ya burudani na ni Nyimbo za kulevya. Mifarakano ya ndoa ndio ilipelekea kuvunjika kwa kundi hili. Moja Kati ya visa vya kukumbukwa ni pale Mwanaume Bjorn alitinga wimbo wa kumnanga mtaraka wake na akampa huyo huyo mwanamke auimbe, yaani ajiimbe mwenyewe.Wimbo inabidi mambo ya kuachana, jina la wimbo ni, A winner takes it all. Baada ya kuhojiwa alisema alitunga akiwa amelewa.
Hizi ni baadhi ya nyimbo za ABBA unaweza zipata YouTube.
1.Chiquitita
2.Mama Mia
3.I have a dream
4.Fernando
5.Andante andante
5.Dancing queen
6.Knowing me knowing you
7.Voulevou
8.Eangle
9.One of us
10.Super toupee
11.Winner takes all
12. Take chance of me.
Wote hawa bado wapo hai ingawa sasa wamezeeka sana. Ukifanikiwa kufika Stockholm Jitahidi kutembelea ABBA THE MUSEUM.
Asante kwa Mada hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu asante sana sasa swali langu je wamerudiana ktk uzee wao?
 
Niliangalia documentary ya maisha ya ABBA, walihojiwa wote walikiri juhudi za kazi zaidi mewaleletea mfarakano. Wazungu wanasema being a victim of your own success.

Walitungia nyimbo kwenye nyumba zao za mashamban na wanaume ndiyo walikuwa watunzi na wapiga gitaa, wanawake walicheza na kuimba.

Wanaume walitumia muda mwingi kuimba na muda wa mapenzi ulikuwa mdogo.
 
Back
Top Bottom