Basi la shetani: SEHEMU YA-01
Ulikua usiku wa kiza kinene katika jiji la Dar es salam, kutokana na uchache wa magari barabarani basi yale machache yaliendeshwa kwa kasi.
“Tumuache hapa hapa”...
NISAMEHE GRACE-01
Anza nayo..
“Grace Sebastian ni msichana aliyetokea kunipenda sana tokea siku ya kwanza nilipoonana nae chuoni kila mara nilipokua nikikutana nae hakuchoka kunitamkia wazi...
Baby I know the story
I've seen the picture
It's written all over your face
Tell me, what's the secret
That you've been hiding
And who's gonna take my place
I should've seen it comin'
I should've...
Ni hivi, kama wanamuziki wa wasafi wanapitia humu naomba wabadilike kama wanataka kuendelea kushindana katika nyanja za muziki. Hawa jamaa wamekuwa wakijaribu kuimba live katika show zao za hivi...
Ziwa Hili lipo Kusini Magharibi Mwa Jamhuri ya Dominica KM.10.5 Nje Kidogo ya Mji wa Roseau.. Lipo Ndani ya Hifadhi ya 'Morne Trois Pitons National Park'.
Ziwa Hili Lipo Tangu Miaka ya 1800 na...
Iko wpi ile kampuni ya Marcon Kits ambayo inasemakana iliingia mkataba na Yanga wa kutengeneza vifaa vya michezo kwa thamani ya milioni 932 kwa mwaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
MWANDISHI: NYEMO CHILONGANI.
SIMU: 0718 069 269.
MAHALI: DAR ES SALAAM
KAHABA KUTOKA CHINA 1
‘Nisikilize Rose. Unataka niseme nini ili ujue kwamba nakupenda? Unataka nifanye nini ili ujue...
Jamani nawauliza mashabiki wa Dimond kituo chake cha TV kimeishia wapi maana alitangaza atakizindua tarehe 1/5/15 mpaka leo natafuta channel ya kituo sipat or kisubusi changu kinanidanganya.
Ningependa kukiri kuwa mimi ni shangiliaji wa timu ya Yanga japo mpira kidogo umenipitia pembeni.
Ila kwa haya mashindano ya kombe la Afrika na hatua waliyofikia Simba, nimeamua kuwa upande wa...
Nisaidieni ule wimbo ameimba bidada Jolie na wenzake (siyo studio version) nataka audio yenyewe official kabisa!
Napitia magumu mpaka nimeukumbuka huo wimbo!
"Nimekubali matokeo, Jana yangu...
Napenda tuchangie tuone wapi muziki wetu unakwama hasa katika Live show.
Na hapa siongelei kikundi kimoja ni kwa ujumla. WCB ni katika label iko juu hapa Tz na ni kama kiongozi wa mzuki wetu na...
WAKALA WA SHETANI
SEHEMU: 01
MTUNZI: Ally Mbetu ‘Dr Ambe’
SIMU: 0713 646500...
WAKALA WA SHETANI
Kila mwanadamu yupo duniani kwa ajili ya kuishi, hakuna mwanadamu aliyeumbwa kupata mali...
RIWAYA;MAMA WA KAMBO.
MTUNZI;RAJA SAIDY
WHATSAPP;0756920739
SMS;0621047841.
UTANGULIZI
Katika siku hizi watu wengi uwalaumu mama wa kambo kwa sababu za kimsingi,ikiwemo na kuwanyanyasa wanao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.