Filamu za Kijasusi

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
390
164
JF Members naomba kwa anayefahamu filamu za kijasusi (undercover movies) anitajie ili niweze kuzitafuta, ni mpenzi sana wa hizi filamu
 
Hata mimi ni mpenzi mkubwa wa movies hizo ila ngumu kupatikana. But books as well could give a good insight of what spies do...
 
Jasusi ninavyojua mimi ni SPY, kwahiyo inatakiwa filamu ya kipelelezi hapa, inaweza kuwa syndicate lakini pia mauaji yanayohusisha wanasiasa au maaskari zinakuwa na matokeo mazuri sana ya upelelezi...nafurahia sana inapohusisha forensic pia. Hebu angalia ...The Man, The Setup, the Tourist. ngoja nikutafutie nyingine
 
Search kwenye google, utapata list ndefu ya hizo movies... Pia nakushauri katafute movie ya 24 hours drama series, season 1-8, utainjoi sana.
 
Search kwenye google, utapata list ndefu ya hizo movies... Pia nakushauri katafute movie ya 24 hours drama series, season 1-8, utainjoi sana.

E bwana eee umenigusa ulipoitaja hiyo movie 24hrs kuna m2 anaitwa JACK BOUAR ni jana nimemaliza season ya 11 ni noma hauchok kuangalia haiish hamu
 
E bwana eee umenigusa ulipoitaja hiyo movie 24hrs kuna m2 anaitwa JACK BOUAR ni jana nimemaliza season ya 11 ni noma hauchok kuangalia haiish hamu

Imefika season ya 11 lini?? Acha uongo bwana, ya mwisho ni season ya 8. Labda ya kichina hiyo.
 
Hizi MOVIE za kijasusi naweza kuzipata kwa hawa wauza CD wa barabarani?
 
E bwana eee umenigusa ulipoitaja hiyo movie 24hrs kuna m2 anaitwa JACK BOUAR ni jana nimemaliza season ya 11 ni noma hauchok kuangalia haiish hamu

hiyo ni episode na siyo season. Mpaka ukamalize siyo leo. Tafuta nikita na missing,nazo zimekaa kijasusi
 
Back
Top Bottom