Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wiki tatu zilizopita niliamua kumuacha mpenzi wangu wa muda mrefu , kutokana na vipigo vya Mara kwa Mara na usaliti nimeamua kumuacha mwenyewe tatizo naumia sana moyo umeanza kumkumbuka Ila mwili...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Hello wana JF .. kuna nyimbo ya bongo flava ina chorus hii hapa Mpenzi wangu samahani Makosa nimekosa mimi Naomba unisamee angali bado niko hai Ni ya kitambo kidogo nahisi kuna sauti ya Jafarai...
0 Reactions
38 Replies
9K Views
Baujo tunaheshimu utabairi wako lakini unatakiwa usome alama za nyakati Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
678 Views
Jamani kwa wale wapenzi wa pop music na Rock wa zamani kidogo mtakua mnaikumbuka ile bendi ya vijana kutoka northern Ireland. Wametoa ngoma mpya kwa kushirikiana na ed sheeran jnaitwa Better man...
15 Reactions
63 Replies
8K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
676 Views
NDOA YANGU (01) ‘Chozi langu litalipwa’ By; KING T CONTROL Nilipokuwa mdogo kipindi bado nasoma, nakumbuka maneno aliyokuwa anapenda kunambia marehemu baba. Maneno ambayo awali niliyachukulia...
4 Reactions
232 Replies
43K Views
Hii movie sijaielewa nimesikia watu wengi wakiizungumzia tweeter anaeifahamu basi aniweke apa
1 Reactions
3 Replies
648 Views
Wakuu nautafuta huu wimbo Kwa mwenye nao naomba anitumie. Maana nimeutafuta sana bila mafanikio Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa yeyote alieko Dar naomba anisaidie hii series ya INTO THE BADLANDS kuanzia season 1 maana naona inaongelewa kila mahala na mimi ndo sijaiona Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
SANAMU YA SOPANGA COMPLETE SERIES HAPAAA, HII NI NOMA SANA, FULL MAPENZI NA VISA UCHAWI SANAMU YA SOPANGA episode 1 SANAMU YA SOPANGA episode 2 SANAMU YA SOPANGA episode 3 SANAMU YA...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wale wapenzi wa filamu za kitapeli/wizi, akili mingi/ masterplanners tudiscuss ni filamu zipi unaona watu walitumia akili sana kufanikisha jambo lao!. Kwangu mimi hizi filamu huwa nabaki kuwaza...
5 Reactions
39 Replies
8K Views
Habari wakuu.. Naomba kuuliza.. kama kuna mtu anayejua..habari za muigizaji wa Naigeria Ramsey Noah.... Bado yupo hai au alifariki? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Mtunzi Ally Katalambula Sehemu ya 1 “MWANAUME kutokwa na machozi, iwe kwa sababu ya maumivu au majonzi, si kitu kinachokubalika katika ukoo na kabila letu. Ukiona mwanaume analia ujue ana roho...
16 Reactions
741 Replies
110K Views
Wamebakiwa na moja tu,mbona nyinyi hamjawahi kufika. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu jamaa niliwahi kuona clip zake akiwa kwenye harusi, na sherehe nyingine mbalimbali. Anajitahidi sana kuiga Yale ayafanyayo Mheshimiwa Rais. Mara zote huwa na huyo mlinzi wake, wapo vizuri...
2 Reactions
4 Replies
951 Views
Nipsey Hussle has died after being shot multiple times outside of his retail store, Marathon Clothing, in Los Angeles on Sunday (March 31), according to NBC News. Law enforcement sources report...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
What good is the bread if my niggas broke? What good is first class If my niggas cant sit? jcole
2 Reactions
35 Replies
4K Views
naomba tupige kura kati ya haya makundi mawili yaliyotikisa dunia miaka ya 70 pia mwenye kujua historia yao vema na walipo Kwasasa na utajiri wao Je walishawahi kuja Tanzania Nani waliofariki...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakati kila mtu akianza kuipenda na kuielewa tamthilia hii pendwa, ghafla tarehe 02/04/2019 ilihamishwa kutokea kuonyeshwa saa 21:30pm kwenda 00:30am. Leo tarehe 03/04/2019 inaonekana imeondolewa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom