[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Kaa chini unywe maji ya kutosha halafu kesho asubuhi ukiamka uandike unachotaka kujua, wakati huo akili yako itakuwa imejaa.
Embu rudi shule kajifunze kuandikakazi inaanza lini au mnapata chaneli za bure huko madishini kwenu
njoo nigandamize mkono niweze kuandika vizuriEmbu rudi shule kajifunze kuandika
Jamaa ana kiu😂😂😂Kaa chini unywe maji ya kutosha halafu kesho asubuhi ukiamka uandike unachotaka kujua, wakati huo akili yako itakuwa imejaa.