KARACHONYO
Member
- Apr 23, 2019
- 23
- 13
Wadau heri ya mwezi mtukufu.
Moja kwa moja kwenye mada.
Katika pitapita zangu kwenye mitandao account mbalimbali nikagundua kwamba kuna watu kipawa cha kuchekesha wameparamia yaani hawana kabisa na hata hawaleti hisia za kucheka.
Uzi huu niwakusaidia kuwataja wanao boa kwenye hii Tasnia .
Kuwataja hapa itasaidia kwao kujierekebisha kuliko kuendelea kula Mb zetu .
Karibu