mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
Jana ndo ilikuwa finale ya series ya Game of thrones iliyokuwa inarushwa nHBO. Utabiri wa wengi umekuwa tofauti na hilo ndilo lilifanya GOT kuwa moja ya series tamu sana kutazama kwakuwa ilikuwa mambo yanakuwa tofauti na unavyowaza.
Watu tulidhani Daenary's au John SNow ndo moja wao atakuwa ruler of the seven kingdoms lakini mambo yamekuwa tofauti amabpo John SNow amemuua Daenery's huku yeye akihukumiwa kuisha Westeros maisha yake yote pasipo kuoa wala kuwa na familia.
GOT lilikuwa bonge la series lime run kwa miaka 8 mpaka kumalizika na ndiyo series iliyokuwa ianongoza kuwa pirated na ndiyo series pekee ambayo toka ianze kila season watazamaji walikuwa wanaongezeka badara ya kupungua kama ilivyo kwa series nyingine.