Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wakuu njooni tufurahi pamoja, Mimi napenda sana hii mchezo kuuangaluia hasa kwemye mashindano ya kimataifa ambapo kuna wanawake wa kiafrika.Nashindwa kuweka video maana ziko YouTube zimenishinda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Steringi wa hii filamu alikuwa ni demu mweupe mzuri mwenye nywele ndefu, huyo demu Mara nyingi alikuwa anapendelea kuendesha farasi, hlf huyo demu alikuwa anajua kupigana sana, hlf filam nahic ni...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
*IJUE YANGA* Wakiwa na pesa wanajiita *DAR YOUNG AFRIKA* Wakiishiwa wanajiita *TIMU YA WANANCHI* Wakikosa kombe wanajiita *MABINGWA WA KIHISTORIA* Yani wanailazimisha furaha hata kama haipo...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
hii ni taarabu ya zamani kidogo anaye kumbuka jina"HALUFU MBAYA IMETAWALA MWILINI NAELEkEA SAYARINI WAPO WALIO RUKA KWA UNGO KIMAZINGALA WAUWAJI ''
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Aisii hivi hawa wanaopewa kazi ya kukusanya madeni ya hawa jamaa huwa wanawaokota wapi. Maana wako shallow sana.Wanafeli.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu Kitabu chenyewe ni PROJECT MANAGEMENT by Author Jack R meredith Picha yake hapo chini
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna jamaa walikua wakiitwa Atomic na wengine walikua wakiitwa Wembe... Hawa jamaa wa Atomic walipiga wimbo mmoja unaitwa "mzee Nanga"... Yeyote mwenye nao huu wimbo pamoja na zingine, za Atomic...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hawa wadada wamejitahidi sana, humu ndani sauti ya Victoria imetulia sana. Stella Mwangi naye amechana vizuri sana, instrumental imetulia sana na imekaa kibunifu sana, kiufupi kazi ni nzuri sana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
"Nipe nafasi ili niwe mpangaji wa kudumu ndani ya moyo wako, moyo thabiti uliojaa mapenzi sawasawa na yako..Tuishi sote milele Beatrice, tuishi sote milele kama watoto wazuri wapendezao" hicho ni...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Kwa wapenzi wa vitabu vya Ben Mtobwa, kwa mara nyingine napenda kuchukua fursa hii kuvitangaza vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwamba sasa vinapatika hapa jijini Dar es salaam, maeneo ya Posta...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
SIMULIZI;NILIKUPENDA MTUNZI/MWANDISHI;RAJA SAIDY WHATSAPP;+255756920739 SMS/CALL;+255621047841 SEHEMU YA KWANZA ( 01 ) Jua na kiza viliambatana mfululizo na kuzifanya siku ziende kwa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Sikubaliani na wote wanaobeza kile kilichofanywa na Taifa Starz katika mechi ya leo dhidi ya Senegal katika mashindano ya AFCON. Nasema hivyo si kwa kuwa sijui soka bali kwa kuwa kati ya milioni...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Koffi Olomide Amefutiwa matamasha yake Mawili Nchini Afrika Kusini kwa Sababu ya vitendo Vya ubakaji, niseme tu kwamba Papaa Mopao, kiukweli huyu jamaa anastahili sifa zake. Toka nimeanza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa wale wanaoujua ule wimbo maarufu wa kipindi cha zamani cha RTD Mtu ni afya. Hivi ule wimbo aliimba Mbaraka Mwinshehe au nani? na jina kamili la wimbo ni kipi? ahsante sana
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Habar, mwenye uelewa kuhusu hi software anisaidie in general zko ngap collection zake na unaweza ipatajee collection nzima
0 Reactions
0 Replies
406 Views
Diamond Platnumz - Kanyaga (Official Music Video) Diamond Platnumz has dropped his Official Video called "Kanyaga" Welcome to watch and Download Video ...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Jurko Murshid anapokuwa simba huonekana mchezaji wa kawaida sana lakini katika timu ya taifa uganda ni panga pangua je ni simba wanamkosea kumtumia au uganda hawana wachezaji wa kiwango kikubwa...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Wakuu habari zenu?, Hivi inakuwaje hapa radio ya kwangu mimi ,nimesota nimeianzisha mimi ,nikaweka utaratimu wa kuwa na piga nyimbo tu za wasanii ambao mimi kwa mtazamo wangu naona watanisaidia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Izzo Bizness Ft Aslay - Midadi (Official Music Video) DOWNLOAD VIDEO Izzo Bizness Ft Aslay - Midadi - Official Music Video Dropped by Izzo Bizness ...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…