Mwisho wa mwezi Hip hop freestlye

Mwisho wa mwezi Hip hop freestlye

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
52,791
Reaction score
131,279
Wadau na wapenzi wa hip hop unalipi la kuongea kuhusu mwisho wa mwezi??

Naanza!

Mwisho wa mwezi, ndo baba ukesha bar//kurudi nyumbani hawezi,hadi mama kamkataa//

mwisho wa mwezi niliemkopa ananidai//watoto wale nyama na nyumbani wafurahi//

mwisho wa mwezi mwenye nyumba udai kodi//
nipo gheto nimelala mlangoni nasikia hodi//

mwisho wa mwezi bhana,kunavituko vya kila namna//tulikua tukipendana,kazipata akiniona anauchuna//

mwisho wa mwezi tabia ubadilika //nimeshapata mshahara geton siwezi pika//

mwisho wa mwezi kila mrembo unita baby//mfukoni mavumba,nalinga hadi kwa ma lady//

Mwisho wa mwezi watu hubadili ID, ili kukwepa vibomu kutoka kwa kina mwanaidi//
 
[emoji123][emoji123] Noma.. Mwisho Wa Mwezi
 
Back
Top Bottom