WALE WALEVI WA MUVI KALI TUKUTANE HAPA TUONGEZE MUVI

M

mkuu mimi

Senior Member
Joined
Oct 12, 2017
Messages
134
Points
225
M

mkuu mimi

Senior Member
Joined Oct 12, 2017
134 225
Wakuu izi ni baadhi ya movie ambazo binafsi nimezicheki ni Kali na nzuri zipitie na wewe utojutia

------+++++-----
JIG SAW 1-7 katika muvi za kutisha za mauaji izi usipime kama una moyo mwepesi uwezi cheki
wagumu tafuteni mzicheki naamin wapo waliochek wataleta mrejesho.

FINAL DESTINATION-izi naic wengi wanazijua kwa wasio zijua tafuteni izi amtojuta.

WER nayo ni nzuri icheki taratibu utaielewa

GREEN INFERNO
itafute iyo imechezwa misitu ya amazon na wale canibal wala watu nayo ni Kali sio mchezo

DEAD MINE -hii nayo nzuri sana tafuteni

LAKE PLACID pia izi ziko ka nne ni Kali na nzuri sana

WOLF CREEK-Hii kuna Mzee ana enyesha watu mbaya ziko 2 zitafuteni

DOG SOLDIER-Nayo Kali imechezwa Scotland uko ila ya kitambo kitu ka 2002 ivi.

THE STAKLE LAND-muvi kali zipo mbili ni nzuri hasa namba2

POMPEI-inahusu sana historia za kale uko kwenye milima yenye volcano

IAM NUMBER FOUR-nayo ni Kali kwa ukali wake

NINJA SHADOW- yupo mwamba Scott adkin zipo 1&2 Kali sana.

Wakuu zitafuteni kwanza izo kwani amtajuta au nendeni YouTube mkacheki trailer zake kabla ya kuzipakua hizi pic moja ya movie ya saw number 7 izi saw sio mchezo wakuu.
 
Attachments:

Prince Mujubu

Prince Mujubu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Messages
346
Points
250
Prince Mujubu

Prince Mujubu

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2016
346 250
Uzi mzuri lakini ulipojiita baharia tu ndo umeharibu subiri mabaharia wenzako waje mjadiliane.
 
Planett

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Messages
6,723
Points
2,000
Planett

Planett

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2014
6,723 2,000
kirikou ni bonge moja la movie kama hujaiona jaribu kuifuatilia
 
Amorbwoy

Amorbwoy

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Messages
485
Points
250
Amorbwoy

Amorbwoy

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2013
485 250
Napenda sana movie za survivor nying zao huwa ni true story vile vile uongo upo wa kiwango cha chin kuliko zile za kina bashite. Ipo open water. Into the wild. The way back. 127 hours. Deep in the blue sea. The impossible. Zipo nying
 
munisijo

munisijo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
948
Points
500
munisijo

munisijo

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
948 500
Zina tuzo ngapi za Oscar au Academic Award? Rate zake zipoje kwenye Rotten Tomatoes au Box Office?
 
M

mkuu mimi

Senior Member
Joined
Oct 12, 2017
Messages
134
Points
225
M

mkuu mimi

Senior Member
Joined Oct 12, 2017
134 225
Napenda sana movie za survivor nying zao huwa ni true story vile vile uongo upo wa kiwango cha chin kuliko zile za kina bashite. Ipo open water. Into the wild. The way back. 127 hours. Deep in the blue sea. The impossible. Zipo nying
Itafute lone survive lakini pia jarson bourn au the bourn
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
9,758
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
9,758 2,000
Napenda sana movie za survivor nying zao huwa ni true story vile vile uongo upo wa kiwango cha chin kuliko zile za kina bashite. Ipo open water. Into the wild. The way back. 127 hours. Deep in the blue sea. The impossible. Zipo nying
 
I

innocent dependent

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Messages
607
Points
1,000
I

innocent dependent

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2019
607 1,000
Wakuu izi ni baadhi ya movie ambazo binafsi nimezicheki ni Kali na nzuri zipitie na wewe utojutia

------+++++-----
JIG SAW 1-7 katika muvi za kutisha za mauaji izi usipime kama una moyo mwepesi uwezi cheki
wagumu tafuteni mzicheki naamin wapo waliochek wataleta mrejesho.

FINAL DESTINATION-izi naic wengi wanazijua kwa wasio zijua tafuteni izi amtojuta.

WER nayo ni nzuri icheki taratibu utaielewa

GREEN INFERNO
itafute iyo imechezwa misitu ya amazon na wale canibal wala watu nayo ni Kali sio mchezo

DEAD MINE -hii nayo nzuri sana tafuteni

LAKE PLACID pia izi ziko ka nne ni Kali na nzuri sana

WOLF CREEK-Hii kuna Mzee ana enyesha watu mbaya ziko 2 zitafuteni

DOG SOLDIER-Nayo Kali imechezwa Scotland uko ila ya kitambo kitu ka 2002 ivi.

THE STAKLE LAND-muvi kali zipo mbili ni nzuri hasa namba2

POMPEI-inahusu sana historia za kale uko kwenye milima yenye volcano

IAM NUMBER FOUR-nayo ni Kali kwa ukali wake

NINJA SHADOW- yupo mwamba Scott adkin zipo 1&2 Kali sana.

Wakuu zitafuteni kwanza izo kwani amtajuta au nendeni YouTube mkacheki trailer zake kabla ya kuzipakua hizi pic moja ya movie ya saw number 7 izi saw sio mchezo wakuu.
SAW na FINAL DESTINATION weka mbali na watoto ni movie Kali kwangu all the time ninaweza kuangalia sana na nisichoke story zipo unique na matukio yanakuvutia, katika maisha yangu sijawahi kuona movies Kali Kama hizi. Kama unajua movies zenye maudhui Kama hiz movies please nitajie
 
M

mkuu mimi

Senior Member
Joined
Oct 12, 2017
Messages
134
Points
225
M

mkuu mimi

Senior Member
Joined Oct 12, 2017
134 225
SAW na FINAL DESTINATION weka mbali na watoto ni movie Kali kwangu all the time ninaweza kuangalia sana na nisichoke story zipo unique na matukio yanakuvutia, katika maisha yangu sijawahi kuona movies Kali Kama hizi. Kama unajua movies zenye maudhui Kama hiz movies please nitajie
Ujaachana na Mimi izo muv asie angalia azitafute ni hatari moyo mwepes uangalii
 
Forum statistics

Threads 1,336,611
Members 512,670
Posts 32,545,130
Top