Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Napenda sana hii series ya Strike Back hapa nina chache,mwenye nazo zote hadi episode ya mwisho anitumie wakuu
Asanteni
Asanteni
Acha roho mbaya mkuu,huku Jf tunaishi kindugu nitumie ,inshallah Mungu atakubarikiNnazo seasona nne utanipa sh ngapi?
Nenda torrent ukadownload mkuu.Acha roho mbaya mkuu,huku Jf tunaishi kindugu nitumie ,inshallah Mungu atakubariki
Mtu anakutumiaje GB 20 za videos kwa bando lipi sasa na huo undugu na hali yenyewe bando hela yake si mchezo.Acha roho mbaya mkuu,huku Jf tunaishi kindugu nitumie ,inshallah Mungu atakubariki
ninazo zote mkuu"" upo wapi
Labda Telegram.Utumiwe kwa njia gani?