Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 739
Mambo vp mdau?
Nakudondoshea uzi huu hapa kwa ajili ya film mpya za mwaka huu wa 2017. Kwa hivyo kama wewe ni mpenzi wa film basi uwe unapitia hapa kila mwezi kuchukua orodha ya film mpya kabisa iwe ni movie za Kihindi, za Kichina, za Kijapani, American films na nyingine nitakuwa nakuwekea hapa kila mwezi orodha ya film zinazotarajia kutoka kwa mwezi husika.
Leo nitaanza kukuwekea orodha ya movie za mwezi huu wa January kutoka katika nchi mbalimbali na mwezi wa pili ukifika pia nitakuwekea za mwezi huo halikadhalika mwezi wa tatu, wa nne, watano,wasita,wasaba,wanane,watisa,wakumi,wakumi na moja na mwezi wa kumi na mbili.