Natafuta waimbaji/Wasanii wanaojua kuimba

Mistaritz

Member
Aug 19, 2017
8
0
Habari zahumu ndani. moja kwa moja kwenye point. Mimi nimwandishi/mtunzi wa nyimbo najambo hili nalipenda sana, huwa naandika nyimbo kwa muda wangu waziada.

Ningelipenda pata mtu/ watu watakao imba mashairi yangu, nayatoa bure kabisa. Maishairi yangu naandika juu ya beats ninazozikuta Youtube. So msanii anaweza ku sample beat hiyo au tengeneza ya kwake.


Mfano wa mashairi. Niliyoandika na beat yake nihuu hapa kwenye link.



Nyimbo inaitwa furaha yangu.

Uliza chochote.
Natanguliza shukrani.


>>>>> UPDATES

Nimejitahidi weka melody japo nimefanya animation yasauti kidogo. Unaweza icheki now
furaha yangu - song melody.




>>>>>>>> PIA NIMEWEKA NYIMBO NYINGINE NILIYO ANDIKA
UKIHITAJI MELODY PM TAFADHARI.

SONG: Nimeumbiwa




>>>Uliza chochote au maoni tafadhari
 
Unaandika maneno tu bila melody? Ingekuwa njema zaidi tukiskiza melody yako ulotungia.
 
Wote mnakaribiswa wapenda good music.

Nitaongeza ngoma nyingine kadri yamuda unavoruhusu.
 
Mkuu mi napenda ngoma za kuchezeka kama za dj maphorisa a.k.a uhuru...unaweza tunga mistari na melody za aina ile?
 
Song mpya pia nimeweka, unaeza cheki link



Karibuni wote. Zipo nyingi ukitaka privet nikutumie nicheki pm. Hiyo uki ni pm nakupa melody yake
 
Back
Top Bottom