Tokea Siku ya Alhamisi iliyopita tena katika Kurasa zako mbalimbali za Mitandao Wewe Maulid Kitenge na mpaka Jana Usiku ulikuwa ‘ ukituhimiza ‘ kuwa Sisi Wapenzi wa Michezo vya Redio hasa vile...
ERIC SHIGONGO
MZIMU UNAOTABASAMU-01
Mchungaji wa kimataifa wa Kanisa la Revelation lililopo jijini New York nchini Marekani, Gideon Matimya alishtuka kutoka usingizini mara baada ya kusikia mlio...
Leo pale darajani stamford kutakua na mpambano wa kawaida sana kati ya chelsea na man utd mi naita ngoma ya watoto isiyoumiza maana kila upande una watoto wamejaa.
moambano utakua hapa
tomori and...
Iko hivi kuna jamaa alikua mjanja mjanja sanaaa alikua anafanya mtukii na anajificha aliwahi kufanya tukio na mtaa mzima kuna kamera akawa ana zikwepa. Kuna kipande kingine alipigwa risasi...
Wakuu natumaini mu wazima wa afya
Leo nawasogezea top ten(10) ya movies zilizovunja record ya mauzo makubwa katika film industry duniani
Avenger endgame=$ 2,797,800,564
Avatar=$ 2,789,679,794...
Habari za leo wanajamvi.
Tukumbushane Zilipendwa kidogo wakuu...
Naomba kama kuna mwenye kuweza kunip link ya kupata nyimbo za zamani.
Zile bendi za zamani zile, kwanza kabisa nahitaji ule wimbo...
Japo mimi kama mimi sijategemea kuona imepooza hivi ila ndo hivyo (Kazi ya Vince Gilligan) .
Sehemu kubwa ni kama inaelezea namna gani Jesse Pinkman aliwezaje survive torture za Uncle ake Todd na...
Nyimbo za Diamond wa sasa ni takataka tupu na ndio zimepata wafuasi (siyo true fans wa muziki) wengi, maajabu. Nimelinganisha na nyimbo za Chege, huyu bwana ni mwanamziki. Anaimba muziki haswa...
Kuna movie nacheki hapa ni zaidi ya uwongo yaani hata mtoto mdogo humdanganyi hivi.
Tujuzane movie zenye uwongo ulioptiliza kama si kutukuka.
1.Mission Impossible 4 na 5
2.Spectre ya James Bond...
Moja ya vitu ninavyopenda ninaposhika kifaa chenye Internet access ni kustream videos mbalimbali kupitia Youtube.
Kuna maelfu ya channels ambazo hutoa videos zenye kugusa mambo mbalimbali kwanzia...
Habari wandugu, natafuta Album ya Kijitonyama Upendo Group inayoitwa Maisha yako, madame Hasa Kama kuna mpendwa anao wimbo huu wa Maisha yako nauhitaji kwa whatsapp 0717246284 Asante
I have been listening to this album over and over again, I saw some of threads talking about it in a very very positive way, appreciate that, this album has 31+ songs and none of them is below 3...
Aug 1 2013 mwigizaji staa Irene Uwoya alitangaza kupitia millardayo.com kwamba wiki ijayo Jumanne saa tatu na nusu usiku ataanza kuonekana kwenye show yake mpya ya TV.
Ni show ambayo Watanzania...
Tng squad imerudi tena katika tasnia ya muziki Tanzania, kama una kumbu kumbu nzuri walifanya vizuri na ngoma kaa ring on it baada ya bongo.com kabla ya kundi kuvunjika kwa sababu mbalimbali, kama...
Habari zenu humu,
WanaJF, kuna movie moja ya kitambo hivi kidogo imechezwa Marekani, kuna mtu mmoja mfupi alikua anafanya mauaji ya watu. Huyu mtu hata akipigwa risasi alikuwa hafi lakini baadaye...