Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Katika wimbo wake mpya unaoitwa Nakaza roho, Ferooz ametapika sana nyongo! Kikubwa kasikitishwa na ndugu zake wa karibu Prof J na Chege kumtenga na kutotaka hata kumsikia. Ameenda mbali zaidi na...
6 Reactions
108 Replies
25K Views
Kwa muda mrefu nilikuwa napenda kusikiliza kipindi cha "Je Wajua?" cha RFA ambacho kinarushwa Jumapili saa 9:30am (sijui kama bado kinarushwa). Nilikuwa nafurahia habari za kushangaza na kusisimua...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Roma Mkatoliki amerudi upya jamani. Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma". Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema...
51 Reactions
391 Replies
83K Views
Habari zilizo chini ya kapeti ni kwamba Harmonize bado yupo Wasafi ila kinachoendelea ni drama ya kuhakikisha Ali Kiba anayeyushwa kwenye gemu. Mashabiki wengi wa Kiba watavutwa kwa Konde Boy...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nikitambo sasa
0 Reactions
4 Replies
903 Views
Hivi kati ya huyu Taylor Swift na huyu Beyonce nani zaidi? Moja nyimbo za Beyonce Moja ya nyimbo za Tyler Swift
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Habari wakuu, Kuna kijana anaitwa Hamisi ,alikuwepo kwenye mashindano ya BSS. Ni kijana ambaye kwa muda mfupi watu wamempenda sana. Lakini kwa sasa ameondolewa kwenye mashindano hayo. Naombeni...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Amani iwe nanyi. Wakuu, huwa najiuliza sana kuhusu hili tamasha la Mziki Mnene ni nini. Sijawahi kuona viingilio vikitangazwa wala wadhamini wa Mziki Mnene, ila huwa naona tu wanaenda sanaa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini wana JF kuna wimbo mmoja hivi nlivokua mdogo nlikua nauskia na nautafuta sana una lines kama hizi.. Haya maisha nayoishi mimi , yananichanganya saana sijui niendapo wala nitokapo nini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ulikuwa ni wimbo wa miaka ya 2006 hivi, sikumbuki jina lake wala aliyeuimba, ila una bit flan nzur, na kati kati ya wimbo kuna maneno: Daily unanipa promise tutananilii kesho, unaishia kunipa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
kitendo cha huyu jamaa kuhamia kwenye kutiririka mi sikielewi kabisa, au ndo muziki wenyewe huu wa sasa ...wauonaje wimbo wake huu Ferooz ft Shaz Dear - Ndege Mtini | Muziki.net ?tiririka........
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Kuna mtu ana nyimbo za Shari Martini (Tana River gospel singers); Msanii wa gospel music toka Kenya. Kama kuna mtu anazo naomba anisaidie!!!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Salama humu wadau wa sanaa. Kila mtu ana njia yake ya kufikia malengo yake. Ni wazi Mbosso amechagua njia ya mahadhi yake ili kujitofautisha na wengine na anapenya na sasa ameanza kuingia kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu sisi wakongwe Kuna ladha tunaikosa sasa kwenye sanaa.tukumbushane nyimbo gani zilibamba kipindi hicho.binafsi mpaka sasa nasikiliza wakongwe tu.hizi ni baadhi ya zilizobamba na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Anaejua kuhack dream league soccer 2019 anielekeze plz
2 Reactions
44 Replies
10K Views
Vyombo karibu vyote vya habari hapa South Africa vimetawaliwa na wimbo wa mwanadada Sho Madjozi - John Cena, japo wimbo ulitoka mwezi wa 8 ila wiki hii umeshika kasi sana kwenye media na kwenye...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari yako ndg! Mpendwa! Naitwa Kefasi Mwasile ,Niko Mbeya Namtumikia MUNGU KWA kuimba na kufundisha uimbaji wa praise team, kwaya, na mmoja mmoja, makanisani na mtandaoni. LEO NATAMANI...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Shawn Mendes ft Camila Cabello- Senorita
1 Reactions
3 Replies
919 Views
Leo nimeona niangalie FNL baada ya miezi kadhaa. Sijui ni nini hiki ninaachoangalia. Hata sielewi!
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Umofia Kwenu wana JF, Jua Changamoto alizopitia mwandishi "Henry Mdimu" katika Story yake ya Mimi ni Shujaa. MIMI NI SHUJAA: PART 1 Uandishi wa habari ni kazi niliyoipenda tangu niko shule ya...
2 Reactions
40 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…