Nyimbo za Bongo fleva zilizowika kipindi hicho

Nyimbo za Bongo fleva zilizowika kipindi hicho

gebu

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
402
Reaction score
246
Wakuu sisi wakongwe Kuna ladha tunaikosa sasa kwenye sanaa.tukumbushane nyimbo gani zilibamba kipindi hicho.binafsi mpaka sasa nasikiliza wakongwe tu.hizi ni baadhi ya zilizobamba na nilizipenda.kuna jirushe,starehe,njoo,boss za feruz,kamanda barua na nipe gwala za daz nundaz,wife,namba 8 na albamu zima ya daz baba,critic mnizoee,ocg anaimba akwelina(profesa ludigo,majani na Juma Nature walitisha mno)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom