Jifunze Muziki

kefasi Mwasile

New Member
Nov 9, 2019
0
0
Habari yako ndg! Mpendwa! Naitwa Kefasi Mwasile ,Niko Mbeya

Namtumikia MUNGU KWA kuimba na kufundisha uimbaji wa praise team, kwaya, na mmoja mmoja, makanisani na mtandaoni.

LEO NATAMANI KUFUNDISHA SOMO KUHUSU KUIMBA KWA

=>AKIRI,
=>ROHO, &
=>NGUVU.

Kuimba kwa akiri ni kuimba kwa kutumia ufundi, yaani ustadi , kwenye ustadi au ufundi kuna

KEY,TEMPO,
OCTAVE,
MPANGILIO WA SAUTI YA 1,2,3,4,
KUNA TIMING, CHORD,
UTUNZI BORA,
VOCO BORA, MATAMSHI SAHIHI, SCALE,
SAUTI ILIYO STRONG,
NA VINGINE VINGI.

Hapa akili inatakiwa ishike vyote kwa usahihi, muunganiko wa kukamilika kila idara, inaweza Leta Matokeo chanya kwenye wimbo, kinapo feli kitu kimoja. Ni kasoro kubwa sana. Key ndio utambulisho wa wimbo...,.......

Somo litakalo fuata ntaanza kuelezea nilivyo vitaja kimoja kimoja.Na kama unahitaji kujifunza zaidi moja ya masomo haya KARIBU inbox ,

Pia niFollow insta, twiter. Youtube na facebook kwa jina la Kefasi mwasile muziki namba yangu 0767814389
HUDUMA ZINGINE NINAZO TOA MTANDAONI (wasap)

NINA OFA KUTUMA BEATS 20 ZA KUSIFU, KUABUDU NA TENZI. KWA SH ELF2,

KAMA UNAHITAJI CHANEL YAKO YOUTUBE

MASOMO YA MUSIC AUDIO NA VIDEO,

Kama unataka kutangaza nyimbo au mahubiri yako yawe audio au video au maandishi nitumie nikuwekee kwenye www.djkefamwasi.blogspot.com

kama unataka kuedit video na picha nk. Waweza ni add kwenye magroup yoyote ya dini.
IMG_20191108_234844_387.jpeg
 
kama unataka kuedit video na picha nk. Waweza ni add kwenye magroup yoyote ya dini.View attachment 1264658

Mkuu. Edit. Akili -sio AKIRI.
 
Back
Top Bottom