Hamonize kujitoa Wasafi ni mpango wa Wasafi kumzika Ali Kiba

mtarimbo

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,529
3,919
Habari zilizo chini ya kapeti ni kwamba Harmonize bado yupo Wasafi ila kinachoendelea ni drama ya kuhakikisha Ali Kiba anayeyushwa kwenye gemu. Mashabiki wengi wa Kiba watavutwa kwa Konde Boy company ambayo iko chini ya WCB, mpango huu umesukwa na jopo la wakongwe wanaomsimamia Mondi akiwemo msanii AY.

Na kazi moja ni kuhakikisha 2020 Ali Kiba anafutika, Mondi kwa sasa anafanya kila juhudi kufanikisha mpango wa kumzika kibusara na kiutu kwa kutoonesha bifu lolote huku akijikita kusaidia jamii ,huku Konde boy akijifua kutoka na singo jingine ambalo nia na madhumuni ni kuwasahaulisha watu kuhusu Ali Kiba, ambalo mpango ukifanikiwa itakua mchuano itakua ni kati ya Konde boy na Wasafi ambalo wote ni kitu kimoja.

N.B ishu ya kuwalipa Wasafi million 500 ilikua kiki na kuvuta attention.

Kweli kijana Mondi ni hatari sana
 
Sasa wanamzima vipi wakati mshumaa ndiyo ipo katika trending na uno ishapotea? Hata nyimbo ya Abdu Kiba ipo namba 3 katika trend na uno ishapotea, kama mpango ni huo basi asipoteze muda bora arudi tu kakwama.
 
Vyovyote tu itakavyokua ilimradi watengeneze ajira kwa vijana wenzangu
 
Back
Top Bottom