Nani zaidi: Taylor Swift vs Beyonce

Hako ka binti naona kapo over rated, vile watu hao wameamua kukap attention hadi kameshika watu. Ila BEYONCE, moto mwingine kabisa.
Mwambie huyo dogo mleta mada atuletee ngoma za hako kadada kanachotoa ulimi kama nyoka
 
Kuna tuzo moja kubwa alipewa Adele mbele ya Beyonce Adele akaikataa papo hapo akampelekea Beyonce akasema yeye hastahili hiyo tuzo na watoa tuzo wamekosea Beyonce anajua mara 100 kumzidi yeye Adele.
Sasa sijui Tahila Swift anaanzaje kkumfikia Beyonce.
 
Pia, KANYE alishawahi fanya kitu hii, kumpandia Jukwaan Haka kadada, kalivyo chukua tuzo, haka sema hastahili

Kuna tuzo moja kubwa alipewa Adele mbele ya Beyonce Adele akaikataa papo hapo akampelekea Beyonce akasema yeye hastahili hiyo tuzo na watoa tuzo wamekosea Beyonce anajua mara 100 kumzidi yeye Adele.
Sasa sijui Tahila Swift anaanzaje kkumfikia Beyonce.
Ilikua ni tuzo ya Grammy 2017 Album of The Year
 
Hivi kati ya huyu Taylor Swift na huyu Beyonce nani zaidi?
BEYONCE:
- 17 million albums sold in the US.
- 100 million records sold worldwide.
- 23 Grammy Awards (second most honored female artist).
- 62 Grammy Award nominations (most nominated woman in history).
- Best-selling music artist of all time.
- 24 MTV Video Music Awards (most-awarded artist in Video Music Award history).
- 29 BET Awards (most awarded artist in BET Award history).
- 60 BET Awards nominations (most nominated artist in BET Award history).
- The second most award winning artist of all time (1_Michael Jackson).
- Certified artist of the 2000s decade (64 certifications).
- Billboard Top Female Artist and Top Radio Songs Artist of the Decade.
- May 23, Beyonce Day huko Minnesota.
- August 21, Beyonce Day huko South Carolina.
- BBC Radio's 7 women with biggest impact on women's lives over the past 70 years (Margaret Thatcher, Barbara Castle, Helen Brook, Germaine Greer, Jayaben Desaiand, Bridget Jones and Beyonce).

TAYLOR SWIFT:
- 50 million albums sold.
- 32.7 million albums sold in the US.
- 150 million single downloads.
- 10 Grammy Awards.
- 24 American Music Awards (most wins artist).
- 23 Billboard Music Awards (most wins by a female artist).
- 6 Guinness World Records.
- 1 Emmy Award.

BEYONCE HAJATOKEA WA KUMFANANISHA NAYE!.
 
Kuna tuzo moja kubwa alipewa Adele mbele ya Beyonce Adele akaikataa papo hapo akampelekea Beyonce akasema yeye hastahili hiyo tuzo na watoa tuzo wamekosea Beyonce anajua mara 100 kumzidi yeye Adele.
Sasa sijui Tahila Swift anaanzaje kkumfikia Beyonce.
😂😂 Dah! Eti Tahila Swift.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom