Jamani kuna wimbo nautafuta , msaada

mohammad_othar

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
247
42
Habarini wana JF kuna wimbo mmoja hivi nlivokua mdogo nlikua nauskia na nautafuta sana una lines kama hizi..

Haya maisha nayoishi mimi , yananichanganya saana sijui niendapo wala nitokapo nini maana ya maisha ...

Ndo nakumbuka sehemu hio ya wimbo, naomba kama unajua comment hapa please
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom