Msaada: Kuna wimbo nautafuta miaka mingi ila sijawahi kuupata

Freesoule

JF-Expert Member
Jun 18, 2013
269
272
Kwa muda mrefu nilikuwa napenda kusikiliza kipindi cha "Je Wajua?" cha RFA ambacho kinarushwa Jumapili saa 9:30am (sijui kama bado kinarushwa). Nilikuwa nafurahia habari za kushangaza na kusisimua ambazo mara nyingi zilikuwa zinatoka tovuti ya bilieveitornot.com au jarida la Guiness World Book of Records.

Lakini pia nilikuwa napenda beats zilizokuwa zinatumika kwenye kipindi: kulikuwa na beat ya wimbo wa Dancing Queen wa ABBA na beat nyingine ambayo kwa muda mrefu nimejitahidi kuusaka wimbo wake bila mafanikio. Ni beat iliyopigwa vizuri sana kiasi kwamba huwa siku zote natamani niupate wimbo wake, sijui pa kuanzia kwa sababu sijui jina lake. Beats hizi zilikuwa zinatumika around 2005 hivi. Kwa yeyote ambaye alikuwa akisikiliza "Je Wajua?" na anafahamu jina la wimbo wenye hiyo beat, anaweza kunisaidia jina la wimbo?

Nimejaribu kuwasiliana na RFA na watangazaji wao wa kipindi hicho bila mafanikio.
 
Ile beat Ni nzuri ila wimbo ukianza tuu Basi haivutii wimbo furani hivi wa mahaba sijui love nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom