JamiiForums’ shout-out to Sho Madjozi - John Cena

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Vyombo karibu vyote vya habari hapa South Africa vimetawaliwa na wimbo wa mwanadada Sho Madjozi - John Cena, japo wimbo ulitoka mwezi wa 8 ila wiki hii umeshika kasi sana kwenye media na kwenye nyumba za starehe.

JamiiForums mnaonaje mkimpa huyu dada credit kwa kuuweka wimbo wake juu hata siku 1 tu au hamfurahi lugha ya kiswahili kwenda viral?

JF on Instagram:

Mambo ya kiswahili yananikumbusha mbali. Mrosho mpoto aliwahi kwenda kwenye tamasha moja huko Marekani akasema Kiswahili kinatokea Kenya na kinazungumzwa zaidi Kenya.
 
Huyo mwezi uliopita alikuja bongo alihojiwa na vyombo kibao vya habari..

Na hapa amepewa promo ya kutosha Kuanzia Clouds hadi wasafi .., labda wewe ndio uko mbali na vyombo vya habari Tanzania.
 
Mbona hata Beyoncé ashaimba kiswahili, Mkuu. Na huu ni wimbo wa tatu wa huyo dada kuimba kiswahili - ishakuwa kawaida kabisa.
 
Vyombo karibu vyote vya habari hapa South Africa vimetawaliwa na wimbo wa mwanadada Sho Madjozi - John Cena, japo wimbo ulitoka mwezi wa 8 ila wiki hii umeshika kasi sana kwenye media na kwenye nyumba za starehe.

JamiiForums mnaonaje mkimpa huyu dada credit kwa kuuweka wimbo wake juu hata siku 1 tu au hamfurahi lugha ya kiswahili kwenda viral?

JF on Instagram:

Huyu manz ni msouth anasema amekaa sana bongo Daresalama
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom