WE ARE ANONYMOUS
JF-Expert Member
- Mar 23, 2015
- 217
- 284
Ulikuwa ni wimbo wa miaka ya 2006 hivi, sikumbuki jina lake wala aliyeuimba, ila una bit flan nzur, na kati kati ya wimbo kuna maneno:
Daily unanipa promise tutananilii kesho, unaishia kunipa mate nami kukwacha siwezi........
[chorus]
Mdau mwenye kuweza kukumbuka jina la wimbo, au link hata ya youtube nitashukuru!
:music::music::music::music:
#FridayMood