Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Msanii Chidi Benzi asikitishwa na dau alilotaka kupewa na Efm kwa ajili ya ku-perfom show yao ya Mziki Mnene. Walimpigia simu wakimwomba akaimbe kwa malipo ya elfu 50, kwa ahadi kwamba watampa...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Kabla hujasoma Riwaya hii Nzuri na tamu niweke wazi hapa mimi sio muandishi wa hii riwaya na wala sijawahi kuandika hii riwaya hata neno moja.Pia nitoe angalizo iwapo mwandishi asipomalizia...
2 Reactions
35 Replies
14K Views
Nkiwa kama moja ya wapenzi wakubwa wa kipindi cha XXL ya Clouds nlimsikia B Dozen akisema Nandy ni msanii aliyeongoza album yake ya the African Princess kuwa streamed Boomplay, kitu ambacho ni...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Wanajamii wenzangu, Naomba mnisaidie kuutambua wimbo, siujui jina but inadaiwa ameimba Mwafrika, sijui nchi gani hapa Afrika but Wahindi wameuiga kwenye movie inaitwa Gupt (wimbo unaitwa jina la...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Napenda kujua gharama za utali wa ndani ( Tanzania)
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tukiwa tunaelekea kumaliza muongo mmoja, haya ndiyo maoni yangu kuhusu wasanii bora zaidi wa muziki katika kipindi cha miaka 10 iliyopita. 1. Diamond Platnumz There is no competition to the...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Tukiwa tumebakiwa na siku 21 kufunga mwaka huu. Wadau wa sector ya burudani tupeane play least zetu za mwaka huu unaoisha. Zangu:[emoji116] 1. Yope rmx - Inoss B ft Diamond 2.No guidance - Chris...
5 Reactions
58 Replies
9K Views
Special dedication kutoka kwa Gerere kwaajili ya wachaga wenzangu wooote.... Mchagga Mwenye Sawgga - Gerere
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Alafu mtu bado analeta ubishi na ushabiki usio na maana! Jamani Tukubali tu kwamba Diamond kwa sasa ni level nyingine. Wengine nyie endeleeni na shows za huko matombo na.k Sent using Jamii...
4 Reactions
32 Replies
7K Views
Huwa wanaimba nyimbo za wanawake lakini ndiyo mfumo wa maisha ya Mtanzania kuwa ni kisiwa cha amani. Ikifika kwenye kuboresha vitu kama majengo, kilimo, uvuvi, mifugo n.k utakutana na ubaguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda huu muziki, naomba supporters tukutane hapa tupige story mbili tatu za uzinduzi wa singles, albums na hata links za concerts pia
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkali kuwahi kufanya hii kazi , nani haijui matawi ya juu,nani hajui gangster na ngoma hits kibao. Fanya unadrop mistari kwa heshima ya mshkaji. Jamaa ana punch kibao za hatari mfano "ukiniona...
7 Reactions
43 Replies
10K Views
Nataka kutaipu kwa kuchanganya rangi katika sentesi naombeni kuelekezwa tafadhar. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
667 Views
Aisee mambo niaje wakuu? Kwa wale waliowahi kuona baadhi ya movies za kihindi watakubaliana nami kwamba 3 Idiots ya Aamir Khan ni moja ya movie matata kabisa. Movie ilitoka 2009. Binafsi...
26 Reactions
252 Replies
32K Views
Former world boxing champion Khanand his fiancee Faryal Makhdoom, 28, were joined by daughters Lamaisah, five, and Alanya, one, in the cute pic. Wearing matching pyjamas, each family member...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Baba lao, Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
420 Views
Natamani nijue kuhusu huyu dada.Jinsi alivyopokea suala la Nguza Vicking na mwanae Papii kocha kufungwa kifungo cha maisha. Je alijisikuaje kupokea taarifa ya kutolewa kwao gerezani kwa msamaha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mtunzi: Washawasha Ilikuwa ni siku ya jumamosi mida ya saa kumi na mbili jioni,mimi Juma nina miaka 18 kwa sasa,nilienda kuoga ili kuweka mwili safi kwa ajili ya mtoko wa kwenda kwenye party moja...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wafuatiliaji wa hii kitu wapo? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
807 Views
RIWAYA: KOSA MTUNZI: HASSAN O MAMBOSASA SIMU:+255713776843 +255762219759 WHATSAPP:+255713776843 SHUKRANI ZOTE ANASTAHIKI MWENYEZIMUNGU MUUMBA WA DUNIA NA VILIVYOMO KWA KUNIPATIA...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…