Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wimbo una Unigeria mwingi, Tuzo ataendelea kuzisikia kwa Radio na kuziona Insta kwa wasanii wengine, Jamaa alichobakisha cha kujivunia ni Views Youtube Ngoma mbovu mitusi kama kawaida yake Kama...
1 Reactions
43 Replies
9K Views
Wakati mwingine baada ya kazi na shughuli huwa tunaketi na kutumia simu zetu kwa kuchati, kusikiliza music na vingne. Wakulu kwa nia ya dhati naomba msaada kujuzwa ni game lipi ni zuri kwa ajili...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu kwema? (Hope kwema) Kuna hii song Inaimba background kwenye hii video clip, please mwenye kuijua naomba anisaidie jina la hiyo song or share hapa nasi wote tuipate. Pia Iko swahili version...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kitabu cha Ujajusi wa Kiuchumi na Kidola cha Yericko Nyerere hakiyahusu mataifa Tu . Hata watu binafsi, makampuni etc wanaweza kutumia mbinu hizo. Moja Kati ya mbinu anazo zielezea Bwana Yericko...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu nmekutana na kionjo cha one of the song in #afroeast album. Aisee a new big artist in Africa and the world is introduced tarehe 14 mwezi Wa 3. Kondeboy anaenda Ku trend kama...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama unafatilia hii tamthilia kwenye kisimbuzi cha Azam bila shaka kuna jambo umejifunza kuhusu roho mbaya ya mabeberu na ukisiakia watu wanatamani kutawaliwa upya au kupenda kauli ya Trump kuwa...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
UNMASTERED VERSION... Ukiipenda Tuwasiliane... By Magnifico. cc pancho boy, donlucchese, Beira Boy
1 Reactions
16 Replies
2K Views
baada ya 'Scorpion' ya mwaka 2018 Wakati wa mchezo wa Toronto Raptors na Phoenix Suns jumapili ya jana Drizzy alidokeza kuwa album yake mpya haitokuwa na nyimbo nyingi kama iliyopita (scorpion)...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Album mpya ya Justin Bieber 'Changes' imeshika namba moja kwenye chart za Billboard 200 na kuvunja rekodi aliyoiweka mkongwe Elvis Presley miaka 59 iliyopita Justin Bieber ameweka rekodi ya kuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Shalom watu wa Mungu, Binafsi nimejaribu kufatilia muziki wetu wa hapa Tanzania ila kiukweli nimegundua kwamba wapo wasani wanapenda muziki ila muziki hauwapendi. Sasa basi tushauriane, wewe...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Team Wilder please njoeni hapa tuanze kushangilia ushindi mapema maana huyu dogo Tyson feki alichonga sana sasa leo mwisho wa maneno, mikono ndiyo itakayoamua nani ni zaidi ya mwenzake. Nyani...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Husika na kichwa hapo juu.[emoji14] Hapa kuna Khaligraph, huku kuna Nyashiski, kule kuna Sauti Sol, pembeni kuna Hart the band, nyuma kuna Sol generation, katikati yupo mnyama Octopizzo, kulia...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari ya asubuhi wakuu,natafuta nakala za albamu hizi,TELEVISHENI YA MAISHA na BARABARA YA 13 ULYANKULU, Mwenye nazo tafadhari naomba tuwasiliane at any cost,naitaji audio tu. Amani kwenu.
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Jamani nimesikia series ya Money heist ni nzuri sana lakini Me kwa kweli wanavyoongea kiispania nimeshindwa kuifatilia.. Je kuna Episodes zake ambazo wanaongea Kingerezaa???? Yani zimetafsiriwa...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
kazi na muziki. namcheki tu boss wangu alivyonuna mi nakula ngoma. na kazi zinaenda yan full kuipa faida kampuni. anaoujua huu wimbo atuambie kisa chake maana si kwa utamu huu si uimbaji si midundo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
[Verse 1] See the way you love me See the way you care for me You carry my matter for your head oh All: Ine me Obi nasom Like a little baby You watch over me You no deh carry me de play ooo All...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu naimani my wazima. Nilikuwa naomba mwenye link ya video ya nyimbo hiyo hapo juu, maana nimehangaika kuitafuta mitandaoni na YouTube zipo fupifupi na Mimi nilikuwa naitaka ile ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu natumai mu wazima wa afya. Ombi langu kama hapo juu ni kwamba nilikuwa naulizia mahali ninapoweza kupata duka liuzwalo vitabu vya fasihi za kiswahili hasa za kipindi hicho maana...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…