Kuna huu wimbo wa huyu Gwiji wa miondoko ya Sukus, ambaye amejipachika majina lukuki, mara sijui Mopao Mokonzi, Sakozi n.k.
Huu wimbo nimeusikia ukichezwa jana kwenye Bar moja wakati...
Jamani sio kwa flavour hizi[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Kanyimbo katamu haka jamani
Kwangu ndo song bora haswaa sauti lugha ya malkia daah utadhan sio mbongo...
Habari
Binafsi Huwa napenda kutizama Documentaries tofauti hasa za nje
Inawezekana kuna Wadau hapa Wana idea flani nzuri za Documentaries ambazo wangependa zitengenezwe siku moja
Kama Una idea...
Wakuu naomba mwenye wimbo wa Beberu uliimbwa na Issa Matona anitumie, huwa unanikumbusha good moment sana, nimeutafuta YouTube haupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kutoka kwa msanii mchanga anayeibukia hii ngoma imenifanya nikaguswaa mnooo watu wanatalent hatari hebu chekini tu daaah so amaizing sweet song hutojutia kuiwatch...
Ilikuwa kila siku saa 3:30 usiku siku za jumapili,
Ijumba
Maua
Mzee kasri na mkewe
Roda
Ijumba
Siti
N.k
Wengine humu muda huo tumewapakaka
Oooh!
I never missed Tausi
Nasiki wengi wa waigizaji...
Wadau habari za maujukumu,
kama kuna wapenzi wa Naigerian au African movies zenye stori nzuri iliyosimama na kuhamasisha kuangalia hata kuinuka kwenda toilet unashindwa tutajiane machimbo ya...
Mtunzi: Washawasha
Mambo zenu natumai muwazima au sio? Mi niko poa namshukuru Mungu,kwa jina naitwa Jeniffer nina miaka 23,leo nitawahadithia jinsi baba yangu wa kambo alivyonifumania nikijichua...
“Where do you live?” (unaishi wapi?)
“Tanzania! You?” (Tanzania! Wewe?)
“Oman.”
“This is my first time to chart with an African girl, you look stunning...” (hii ni mara yangu ya kwanza...
LOVE STORY: PENZI PENZINI
SEHEMU YA 1.
AGE : 18+
Alice ni msichana mrembo wa sura na umbo, ana rangi ya choculate, mrefu wa wastani na ana macho ya kusinzia, shavuni ana vitundu vidogo viwili...
HADITHI: Msafara wa Mamba
SEHEMU: 01
MTUNZI: Ally Mbetu ‘DR AMBE’
SIMU: 0713646500
Siku zote kwenye msafara wa mamba huwa haukosi kenge na mijusi. Msichana Herena bila kutegemea amejikuta...
SEVEN DAYS IN HELL! (SIKU SABA KUZIMU)-1
Damu nyingi zilikuwa zinanitoka upande wa kushoto wa kifua changu kiasi cha kunifanya nilowe chapachapa. Nilijitahidi kuinuka pale nilipokuwa nimelala huku...
It's been a while hatujaonana wakuu. Najua 'tumemissiana' sana au sio wandugu? Haya sasa nimerudi tena na Riwaya ya NYUMA YAKO yenye mahadhu ya Kijasusi na kiitelijensia kama tulivyofanya kwenye...
RIWAYA: JASUSI KOMANDO
NA; BAHATI MWAMBA.
SIMU: 0758573660
1.
BERBERA, SOMALIA (Somaliland).
Alivuta pumzi zake kwa kasi kisha,alizishusha taratibu huku akiwa amefumba macho yake na kichwa...
KADI
Hadithi fupi, kali: iliyoandikwa miaka zaidi ya karne moja iliyopita. Imefasiriwa kwa Kiswahili na Wako Mtiifu.
Richadi Buruweli, wa New York, hataweza kamwe kuacha kujuta kwa nini lugha ya...
RIWAYA: KICHAA.
Na: ZUBER R. MAVUGO.
N0. 01.
Njaa, iliendelea kulisumbua tumbo lake na kumpelekea kuanza kujipitisha maeneo ya ma'ntilie, huku akiamini kuwa shibe yake ipo mikononi mwao.
"mmh...
HAPPY AT LAST (FURAHA HATIMAYE)
Eric Shigongo
“Umeolewa?”
“Ndio!”
“Mume wako yuko wapi?”
“Dar es Salaam!”
“Sijawahi kumwona hata mara moja akija hapa hospitali!”
“Ana kazi nyingi sana ofisini...
"JENEZA LA AJABU
Mtunzi; HAKIKA JONATHAN
Whatsup; 0629905923
***SEHEMU YA 01****
Ikulu kwa mfalme ;
"Siwezi kufa kirahisi namna hii, dunia tamu bwanaaa
weeeh, mali zangu hizi nitamuachia nani...
MAJIRA ya jioni nikielekea nyumbani, macho yangu yaligota kwenye wallet iliyodondoshwa njiani. Niliiokota na kuifungua ndan ili kuona kama kuna vitambulisho vitakavyowezesha kupata namba za...
Huyu msimuliaji wa matukio katika hiki kipindi licha ya kusimulia na kuyapanga matukio vizuri na kwa ustadi mkubwa, ila anazidisha mno chumvi.
Hebu tafuta simulizi zake kuhusu Bruce Lee halafu...