Wasanii watengeneze audio lyrics

Wasanii watengeneze audio lyrics

believer

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
639
Reaction score
216
baada ya kumpoteza lyrical and freestyle king ngwair,nmesikia mtu wa karibu anaeitwa mswaki akisema alikua anamsubir arud toka south watoe ngoma.Sasa nawahamasisha wasanii wa muziki aina zote bongo wabadilike,baada ya kutunga verses zao wasiziache kwenye makaratasi,wajirekodi(audio) hata bila kuwa na official beats,wafanye ivo kwa verses nyingi hata km hawana mpango wa kuzitoa,hii itasaidia msanii akifariki wadau wake wataendelea kutoa nyimbo zake kwa sababu audio ipo,itasaidia familia na ndugu waliokua wakimtegemea kunufaika,technologia imekua hivyo ishu ya kurekodi ur verses kabla ya kwenda studio inawezekana,tumeona 2pac,biggie,aaliyah,etc waliendelea kurelease hits after hits tena sio remixes,coz waliacha audio verses,ni mtazamo tu.
 
Jana marehemu Juicy World katoa ngoma mpya 😊
 
Back
Top Bottom