Hii ni kwa wale wapenzi wa Series movies.
Netflix wanakuja na series kali inayokwenda kwa jina la Queen Sono
-------------------------------
Queen Sono is a South African crime drama web...
Inapatikana kwenye Digital platform Zote
Karibu sapot wasanii wa Tanzania tasnia yetu isonge mbele..
Msanii kutoka Konde Gand "Ibrah" anakuja na EP yake - JamiiForums
Sent using Jamii Forums...
I hope everyone is fine..
Ngoja niende mmoja kwa mmoja kwenye mada.
Kuna wakati unakuwa katika hali fulani ngumu. Pengine katika maisha, mahusiano au situation zingine tu, halafu kwenye nyakati...
Linapokuja suala la kupenda aina muziki inashangaza kidogo. Kuna ambao ikipigwa reggae watatikisa kichwa we mpaka utahisi ni vichaa, wengine ikipigwa singeli ndio wanavua hadi chupi na kanga...
Unaweza kuta list ya movie 200 tatizo ikaja hujui movie hii itakupendeza nk.
Naku-recomand uangalie movie hizi kadhaa, unaweza enjoy kidogo.
1)TRIPLE FRONT
Hii inahusu washkaji walikuwa wazee wa...
Kuna mfalme alijaliwa kupata mtoto wa kiume. Yule mtoto alikuwa na afya njema, sura ya kuvutia alivutia hata wageni waliofika kwa mfalme. Mfalme alimpenda yule mtoto kama roho yake.
Mtoto yule...
Habarini wakuu,
Nipo hapa namalizia movie ya contagion ase ,wakuu hii kitu asilimia 98. imeresemble hii hali tunayopitiaa
sasaa ya janga la coronaa
Wakuu naona wenzetu hukoo...wanatufikisia...
Ni takriban miaka zaidi ya 60 imepita tangu kupata uhuru. Nyerere, raisi wa kwanza alifanya juhudi kubwa kuuondoa ukabila na kuweka utaifa mbele. Kwa hili alifanikiwa Sana.
Katika kipindi hiki...
Ep Ina Ngoma 5 na Makorabo ya Kimataifa
Hapa Ep ya Zuchu Inaenda kufunikwa..
Baada ya Ramadhani Kings Music Nao watadondosha Ep toka kwa Wasanii wao..
Wcb tuliwaacha acha msikike kwa ushindani...
Binafsi toka Tz ipate Uhuru nyimbo nyingi sana nzuri nimezikubali ila kuna nyimbo nasema hakuna itakayotokea nikaipenda kama hiyo (toa suala la kuchuja), nazungumzia nyimbo pale imetoka ipo kwenye...
Kama hujaziona IP Man zote nne fanya kuzitafuta, Humu Don Yean anaonesha umuhimu wa hekima, busara na kupinga uonevu! Jamaa ni very simple guy with nice family, lakini upiganaji wake unaangusha...
MIKE MARTIN 1958-1996 (1)
ILIKUWA ni alfajiri yenye mawingu mazito angani. Kila mtu alijua mvua ingenyesha siku hiyo kwani dalili zote za mvua zilikuwepo angani. Waliokuwa wamelala walizidi...
Kenya tumejinoa vikali kwenye muziki, wasanii kadhaa wa kadhaa wamejionyesha kuwa hao ndo mastaa wa Afrika Mashariki na ndo hawa:
1: Sautisol
2: Khaligraph Jones
3: Boondocks Gang
4: Otile Brown...
Wasafi, Media House iliyokosa ubunifu yakinifu!
Na Mwl Sylvester, George Wambura
Twitter @PGGeorgeJr Instagram @pg_georgejr
+255716109169
georgesylvester35@yahoo.com
Ukiiongelea Wafasi Media...
K’naan (KEINAN ABDI WARSAME) ni msanii kutoka CANADA na pia ni mzaliwa wa SOMALIA mjini Mogadishu. Watu wengi wanamtambua kwa nyimbo yake maarufu ya waving flag ambayo aliitunga kwaajili ya...
Mwandishi: Erick Shigongo
MIKE MARTIN 1958-1996
ILIKUWA ni alfajiri yenye mawingu mazito angani. Kila mtu alijua mvua ingenyesha siku hiyo kwani dalili zote za mvua zilikuwepo angani. Waliokuwa...
Ni lipi jina la nyimbo?
Raha
Nani anazungumziwa?
Mwanamme
Tabia gani amebebeshwa mwanamme (katika wimbo huu)?
Mwanamme amebebeshwa sifa mbili nzuri na mbaya kwanza amezungumziwa kama ni...
Completely, wanna give my love, completely
I'd rather be alone than be in love just half the way
I want to find someone that I can trust, completely
Wanna give my heart, completely
To someone...