K Kanambo New Member Joined Apr 20, 2020 Posts 3 Reaction score 1 May 8, 2020 #1 Kenya tumejinoa vikali kwenye muziki, wasanii kadhaa wa kadhaa wamejionyesha kuwa hao ndo mastaa wa Afrika Mashariki na ndo hawa: 1: Sautisol 2: Khaligraph Jones 3: Boondocks Gang 4: Otile Brown 5: Octopizzo 6: Nyashinski Hawa ndo the kingsđź‘‘đź‘‘
Kenya tumejinoa vikali kwenye muziki, wasanii kadhaa wa kadhaa wamejionyesha kuwa hao ndo mastaa wa Afrika Mashariki na ndo hawa: 1: Sautisol 2: Khaligraph Jones 3: Boondocks Gang 4: Otile Brown 5: Octopizzo 6: Nyashinski Hawa ndo the kingsđź‘‘đź‘‘
Wakujilipua JF-Expert Member Joined May 5, 2018 Posts 1,587 Reaction score 1,393 May 8, 2020 #2 MBONA umemsahau masauti??