Shairi: Nimemiss ugali dagaa

Shairi: Nimemiss ugali dagaa

nentewene

Senior Member
Joined
Jun 9, 2017
Posts
144
Reaction score
94
Nakupenda ugali dagaa.. sijui Kama unajua.
Npo tayar kulala njaa.. Kuliko kula vitumbua.
Wew kwangu nishujaa..sitakusaliti kwa kibua.

Nikuonapo nitakaa..nashati nitavua.
Katu sitakugaa..hata wakinitumbua.
Utamu wako nibalaa..mwaka huu utaniua.

Tumboni ukijaa..nabaki kucheua.
Ngozi yangu inang'aa..Wala sikwakujichubua.
Ila niwew ugali dagaa..hawakuelewi wakishua.

IMG_20200314_150221.jpg
 
Back
Top Bottom