IBRAAH: Msanii wa Konde Gang aachia Ep yake

IBRAAH: Msanii wa Konde Gang aachia Ep yake

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,101
Reaction score
8,867
Inapatikana kwenye Digital platform Zote

Karibu sapot wasanii wa Tanzania tasnia yetu isonge mbele..

Msanii kutoka Konde Gand "Ibrah" anakuja na EP yake - JamiiForums
IMG_20200509_124815_126.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Konde gang hawana mtu mzuri wa graphics... Watafute kuna vijana wengi wajuzi wa hayo mambo BTW hongera kwa harmonize kwa kutuletea kijana huyu
 
Nimesikiliza baadhi ya ngoma, sijapenda kabisa production ya baadhi ya nyimbo sauti zinasikika kama watu wapo kwenye dumu, poor quality.

Dogo ana kipaji kikubwa, ila nashangaa producers kama moko na wengineo wameleta kazi ambazo ni kama demo tracks, next time wajaribu kutumia producers wazuri zaidi na wapewe muda mrefu wa kupika ngoma.

Dogo kuna style anaitafuta , Harmonize na management yote wamuache awe huru tuuone uwezo wake wote, wasimlazimishe na unigeria n.k , wamuache dogo tumuone uwezo wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom