IP MAN: Movie aliyoitendea haki Don Yean

IP MAN: Movie aliyoitendea haki Don Yean

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,443
Reaction score
10,781
Kama hujaziona IP Man zote nne fanya kuzitafuta, Humu Don Yean anaonesha umuhimu wa hekima, busara na kupinga uonevu! Jamaa ni very simple guy with nice family, lakini upiganaji wake unaangusha mijabali!

Tafuta ufurahie maisha!
 
Staili yake ya wing chun imekuwa haijawahi kumuangusha kila battle yake anayopitia.

Namba 3 na nne ziko powa zaidi.

Nafurahi kumuona michael tyson akifuana na mchina alafu mwisho wa siku muda waliowekeana ukaisha donnie anaondoka huku michael tyson akishangaa kuawa zile vitu zimetoka kwa kijana huyu mwembamba mchina ?
 
Zote 4 ni bomba part 4 boyka kachezea kichapo hatari
 
Jamaa yupi huyo ?

Au yue max zhang wa SPL II ?

IMG_20200508_115934_388.JPG


Hii hapa
 
Sanaaaa.
ipo ingine naikubali "Rise of the legend" ipo kama ip man ila hajacheza don yen
 
  1. Dragon aka Wuxia
  2. Kill zone aka SPL
  3. Honorable mentions dragon tiger gate
  4. Kung fu jungle
  5. Flash point
Hizi movie pia alizitendea haki zipo nyingi list ni ndefu 🔥🔥🔥
 
Kuna nyingine inaitwa YIP MAN kacheza jamaa yake aliyecheza naye kwenye ip man 3&2 kama sikosei
Inaitwa IP MAN LEGACY jamaa anajiita MASTER Z kama sijasahau
BATISTA yumo
 
Inaitwa IP MAN LEGACY jamaa anajiita MASTER Z kama sijasahau
BATISTA yumo

Huyo anaitwa max zhang aliwasumbua sana akina wu jing(jwck wuu) na mwenzie ong back(jina halisi tony jaa) kwenye SLP II kwwnye lile jengo kule juu.

Jamaa walichezea kichapo hatari
 


Ndo huyu dogo namsema yulo timamu sana.

Kwenye SPL II alicheza adui,aliwasumbua sana akina tony jaa na mwenzie wuu jing kwenye ile scene ya mwisho alichapa sana.

Hii master z kuna ile scene ta jamaa na tony jaa na ile ya jamaa mwishoni kabisa pale bar wamecheza vizuri sana
 
Kuna moja nshaisahau, jamaa ana mguu mmoja mbovu, yeye anapigana na manguli maarufu tu. Guu lake la kulia bovu halafu ni mfupi kuliko mwengine
 
Ndo huyu dogo namsema yulo timamu sana.

Kwenye SPL II alicheza adui,aliwasumbua sana akina tony jaa na mwenzie wuu jing kwenye ile scene ya mwisho alichapa sana.

Hii master z kuna ile scene ta jamaa na tony jaa na ile ya jamaa mwishoni kabisa pale bar wamecheza vizuri sana
Yap nishaikumbuka hiyo spl kiukweli walipata msala kina tony na mwenzake saimon yung jamaa alikua hapigiki
 
Back
Top Bottom