Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kutokana na tukio lilotokea USA la mmarekani mweusi Floyd. Ebu fanya kupakua au kutafuta movie iitwayo GREEN BOOK ilitoka mwaka 2018 ni drama flani nzuri sana. Kama kuna ingine unaijua unaweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tupeane nyimbo nzuri za country
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Saa hivi kuna ushindani mkubwa kwenye tasnia ya utangazaji. Japo vipaji vipo vingi mtaani vya kutangaza. Sema ukiweza kuji brand una kuwa na soko kubwa. Ukisema unaacha kutangaza basi wengine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf Nipende kukili kwamba sikua msikilizaji wa redio kwa mda mrefu sanaa lakini hii Corona imenifanya nisikilize redio mda mwingi kwakua nabaki nyumbani nikijilinda na haya...
4 Reactions
45 Replies
6K Views
Binafsi nilikuwa ndiyo mwaka wa kwanza pale chuo.... kitu kilikuwa hot hot ni hatareeee - Wakati huo ukipanda daladala lazima ngoma hii ipigwe.......wewe ulikuwa mitaa ngani wakati kitu...
9 Reactions
152 Replies
15K Views
Nilikuwa nacheki Live Show music ya R. Kelly , nikaja kuangalia ya Jay Z , Beyonce, JLo & Eminem, nimegundua ni kwanini wenzetu wajaza sana kwenye show zao. Mziki wa live ni mtamu jamani
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Look in the eyes of the Homeless man Tell me what you see In the eyes of a jobless man Tell me what you see What about the eyes Of a prisoner What do you see Now you' ve seen it all It is time to...
1 Reactions
3 Replies
854 Views
Nilipaa sasa natua kwenye,kwenye siri ya moyo na siri ya moyo anaijua mwenye,mwenye ujasiri wa kuitunza ,nafanya nachodhani ni sahihi kitachotokea ntajua mbele. Kwa mfano nakwita mpenzi...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Taarifa zilizotufikia chini chini kutoka Netflix kwa wanaoishi huku mamtoni, director wa Money Heist wanampango wa kumpa jina actor mpya jina la mji mmoja wapo wa Tanzania ambaye atamuokoa Prof...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Kaeni Mkao Wa kula Wapenzi wa Mziki Mzuri, Hii ni nyingine toka kwa King wa Mziki wa Tanzania King kiba.. Ni dude Juu ya Dude...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwenye nyumba moja ya familia inayomilikiwa na mfanyabiashara maarufu panatokea mauaji ya kutisha na familia kuchomwa moto uliotokana na umeme, kwanini? Muda hayo yanatokea upande mwingine kuna...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wanajamvi Nahisi kichwa cha habari kinaeleweka, kutokana na upweke nilionao nipo mbali na bi mdashi wangu naomba wanajamvi kunitumia zile nyimbo pendwa za mahaba kama za akina...
0 Reactions
2 Replies
746 Views
Mzuka wanajamvi Ni wapi nitapata records za ngoma za asili kwenye kanda CD na kadhalika ili nipate burudani ya kipekee nikiwa nimepumzika naendesha gari n. K hasa midundo ya Kizaramo, kimakonde...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ili muziki wetu uzidi kukua tunahitaji media kubwa zenye entertainment show kubwa za kuweza kutengeneza propaganda and all that, New York hiphop inapewa sana nguvu na ukubwa wa Hot 97 na Power...
3 Reactions
91 Replies
10K Views
Hii kitu ni strictly to persons above 20+.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Toka mwanzo wa kipindi mpaka sasa ni habari na miziki ya wasanii kutoka WCB tu, sisi wapenda burudani hasa tunaopenda wasanii mbalimbali mnatuboa sana kama si kutukera kunakotukuka. Hivi WCB...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna mambo ambayo kwa uzoefu wangu wa muda mrefu katika tasnia hii, ninaweza kusema yangesaidia sana kuunda bendi bora. Kwanza lazima kuwa na sababu za msingi kwanini unataka kutengeneza bendi...
6 Reactions
5 Replies
2K Views
For movie loves asee usikose hii Dora na jumanji the next levelm.Imdb.com
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu? Mimi ni mpenda movies especially animations. Nimeangalia movies za kategory nyingi kama: Horrors Adventures Racings Actions Comedy, na category zingine za movies...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…