Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Huyu jamaa ana kipaji hadi upande huu haha
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu wimbo ni mzuri na nimeusikiliza japo Diamond Platnumz kaimba sehemu ndogo sana peke yake, ila sehemu kubwa kafanya Back-Vocals. Mwanzo mzuri kwake na natumai atatumia nafasi hii kujinoa vizuri...
4 Reactions
36 Replies
7K Views
Kuna Madogo flan walikuwa sijui mapacha,walikuwa maarufu sana kwa ku burn cd ,yaani tulikuwa tunajazana pale kusikilize cd zetu,kijiwe hicho hicho alikuwa anashida sana Linex akiwa hana hata 100...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
PLEASE THIS SPECIAL SONG IS TO WISH "HAPPY BIRTHDAY" TO ANYONE, Enjoy it. Welcome to my New animated video song Live for "HAPPY BIRTHDAY" to wish our friends.
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu, naomba kujuzwa local channels za TZ zinaoonesha mieleka (TNA na WWE) katika kisimbuzi cha Azam
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ijumaa ya tarehe 18 mwezi huu wa 9 inatarajiwa kutoka Album ya mwanamuziki nguli kutoka nchini marekani, Alicia Keys. Album hii itakuwa ni Studio Album ya 7 kutoka kwa mwanamuziki Alicia Keys...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Wimbo unaitwa “Ongeza”
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu bila shaka mpo fresh kiafya. Kwa wale wataalamu na wenye ufahamu kuhusu muziki naomba mje tusaidiane hapa kidogo ni hivi. Wanatumia kigezo gani kusema nyimbo flani imekuwa...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Jamaaa namkubali Sana'a Sana'a anainspire vijana wengi but mbona kama anafifia hivi, ngoma hiz tatu zilizotoka hivi karibuni mbili akishirikishwa Nyie mnaonajeee
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Rapper wa Kike Rosa Ree amefanikiwa kuwepo katika orodha ya wasanii wanaowania tuzo za AFRIMMA Mwaka huu, Amechaguliwa kuwania vipengele viwili ambavyo ni Mwanamuziki bora wa kike Afrika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
..Alikuwa mtaani..ndani ya orleans..hakuijua kula yake kama maskini wengine wa pale...akayakubali hayo..akayaishi maisha yake.. ..Douglass binder..pamoja na hali yake ya kukosa mahitaji...
25 Reactions
32 Replies
5K Views
Sio maujanja kama wanadada wa vyuoni kusoma mchana wanafanya uchangudoa jioni kisha wana-act kama virgin in the morning Ili picha uipate ficha flash wasiione Wengi hawa graduate na A wana...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwandishi: Badi.M.Bao Baruapepe:badi.bao11@gmail.com Riwaya zake mtaani: "CABO-DELGADO' na "MSAKO MWEHU" SEHEMU-01 SURA YA KWANZA. Ilikuwa ni adhuhuri mwanana, ikichagizwa na upepo wenye kasi ya...
4 Reactions
156 Replies
28K Views
MHESHIMIWA THE DON DAVID NGOCHO SAMSON ~1~ Geofrey Mtemvu alikulia katika familia yenye uwezo ya Mzee Ally Magubi Mtemvu baada ya wazazi wake kumtelekeza kwa kukosa uwezo wa kumlea. Alichukuliwa...
4 Reactions
43 Replies
7K Views
Unaweza ongezea au rekebisha kulingana na uzoefu wako 1. Bondeni Bar Kariakoo 2. Chaburuma 3. DDC Keko 4. DDC Kariakoo 5. DDC Magomeni Kondoa 6. Dimax Bar Tandika 7. Friends Conner Manzese 8...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wana bodi habarini...? Hili naliona kutokana na WASAFI TV, kuja kwa kasi na kdhihirisha kuwa ndo redio pendwa currently, kwa kuwa na vipindi vya Moto kama BIG SUNDAY LIVE,booonge moja la kipindi...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari ndugu na marafiki, Wimbo mkali sana bado upo jikoni unasukwa vilivyo na Msanii: EllySkyWilly Hiki hapa ni kionjo chake tu. Pia unaweza kuusikiliza youtube kwa mbaliii upate walau...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau hebu tujuzane je hizi studio na nyinginezo zimeishia wapi? 1. Wananchi video Production 2. Silk production 3. 2 eyes production 4. Sofia Recordz 5. Pasu kwa Pasu Recordz 6. n.k n.k (ongezea)
0 Reactions
15 Replies
3K Views
✓kutokana na wadau wengi kuiponda album ya Burna Boy, na wengine kwenda mbali na kusema Ina bebwa na promo kubwa ya P. Diddy na was sio nyimbo zilizomo ndanibya album. ✓lakini pia Kuna wadau...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…