Wewe ulimsachi huyo linex?Kuna Madogo flan walikuwa sijui mapacha,walikuwa maarufu sana kwa ku burn cd ,yaani tulikuwa tunajazana pale kusikilize cd zetu,kijiwe hicho hicho alikuwa anashida sana Linex akiwa hana hata 100 mfukoni
Hivi kijiwe bado kipo?
Hatari fireDah! Mishe zangu hizo kitambo, sema baada ya kukua ilikuwa full mateso; manake kwa wiki unaweza kujikuta kila siku unalala saa 2-3 ili kukamilisha mzigo wa Machinga wa mikoani ambao order zao hazikuwa za kitoto!
Sema duh, zile pesa sijui nilikuwa napeleka wapi!!!!
Kuna Madogo flan walikuwa sijui mapacha,walikuwa maarufu sana kwa ku burn cd ,yaani tulikuwa tunajazana pale kusikilize cd zetu,kijiwe hicho hicho alikuwa anashida sana Linex akiwa hana hata 100 mfukoni
Hivi kijiwe bado kipo?
Atakuwa ndo yule Sande mjeda ndugu yake na zittto kabwe anayesikika kwenye kiitikio cha wimbo wa kigoma all stars
Ndo ylizojifunzia kuhonga.....Dah! Mishe zangu hizo kitambo, sema baada ya kukua ilikuwa full mateso; manake kwa wiki unaweza kujikuta kila siku unalala saa 2-3 ili kukamilisha mzigo wa Machinga wa mikoani ambao order zao hazikuwa za kitoto!
Sema duh, zile pesa sijui nilikuwa napeleka wapi!!!!
Mali ya wizi Hua haidumu na hata ikidumu huwa haina mwisho mzuri.Dah! Mishe zangu hizo kitambo, sema baada ya kukua ilikuwa full mateso; manake kwa wiki unaweza kujikuta kila siku unalala saa 2-3 ili kukamilisha mzigo wa Machinga wa mikoani ambao order zao hazikuwa za kitoto!
Sema duh, zile pesa sijui nilikuwa napeleka wapi!!!!
Kijiwe nakikumbuka sana, kuna siku kina KALA PINA walivamia wakabeba KOMPYUTA zote pale ila madogo walivyo fiti/shapu wakawa wameshaya-lock ma-file ya BONGO FLAVA
WAKASEMA WANA-BURN ZA MBELE TU
It's completed!! Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini Wasanii Bongo hawalipwi mrabaha/royalty kwa nyimbo zao kuchezwa redioni/tv na wenyewe wala hawalalamiki?!Mali ya wizi Hua haidumu na hata ikidumu huwa haina mwisho mzuri.
Mlikuwa mnaiba kazi za wasanii bila kujali gharama walisokuwa wakizitumia kutayarisha kazi hizo.
Ni wale ambao walikuwa karibia na Mwenge msikitini ?Kuna Madogo flan walikuwa sijui mapacha,walikuwa maarufu sana kwa ku burn cd ,yaani tulikuwa tunajazana pale kusikilize cd zetu,kijiwe hicho hicho alikuwa anashida sana Linex akiwa hana hata 100 mfukoni
Hivi kijiwe bado kipo?
Dar ina mambo
Kuna mtu humu aliwahi kumuulizia bishoo mmoja kwa jina la "mpoki" kwamba alikua anamuona huko dar miaka ya mwanzoni mwa 2000 nilicheka sana.hilo jina mpoki hua nalihusisha na mpoki comedian
Sent using Jamii Forums mobile app