Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,415
Habari zenu
Mzee wenu nimekaa hapa nasikiliza hawa vijana wenzangu wa enzi hizo..si mnajua tena weekend hii. Ila kiukweli nimeshindwa kung'amua kabisa kati ya hawa wakongwe wa huu muziki ni nani alikuwa anamzidi mwenzie.
Yaani nimeumiza kichwa peke yangu hapa nikaona ni bora ni washirikieshe na ninyi wenzangu jukwaani...
Ni nani mkali hapo??
MARIJANI RAJABU VS MBARAKA MWINSHEHE