Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,240
Pisi kali - Nini maana yake?
Pisi kali lina trend sana sasa hivi. Nini hasa maana yake? Mwanamke mzuri? Huenda kila mtu anaelewa kivyake. Ingawa kuna wadada wanajiita na kujisifu kuwa wao ni Pisi kali, kuna wengine wanaona kuwaita Pisi kali ni kuwadharau na kuwadhalilisha Wewe una maoni gani?
[emoji116]